Deni la taifa Afrika Kusini limefika dola za kimarekani billion 300

Deni la taifa Afrika Kusini limefika dola za kimarekani billion 300

Deni la taifa linaloongoza kwa uchumi duniani





?????ni SA?
 
Mimi naumia sana jikiona mataifa yanamadeni makubwa hivi na yameendelea sana huku sisi tukijisifu tunamadeni madogo na hatujaendelea kabisa.

Kukopa ni njia ya kujiletea maendelea pia nchi yetu imezubaa sana inatakiwa ikope sana yaani mnakopa hadi wazungu nywele ziwasisimke huko walipo..
Huku haina maana ya mikopo maana wakikopa sana jua wanaiba sana pia usimamizi wa Fedha za miradi upo chini sana..
 
Iko siku huko mbeleni watu weupe hasa Wazungu wanaotukopesha watakuja kujimilikisha hizi nchi za Waafrika wa Ngozi Nyeusi.

Ubinafsi unatumaliza watu weusi.
Mweusi akipata cheo anawaza kujilimbikizia pesa tu, wengine shauri Yao.
Tunahitaji kujitathmini kwa kina.
 
Mkuu, deni la taifa lolote lile duniani huwa halipungui, hilo elewa tu, madeni ya mataifa yanaendelea kuongezeka, ni principle, na ndio tutaishi humo,

Usitegemee SA watapunguza hilo deni, hapo watalipa $100B na kukopa 200B mwendo ni huo huo tu dunia nzima
Mkapa alipunguza na kulimaliza kabisa.
 
Back
Top Bottom