Deni la Taifa: Kukopa sio tatizo, lakini tumefanyia nini huo mkopo?

W
Sasa tunafanya makusanyo ya pesa ya kuwapa wakuu wa vyombo vya dola wakati wa uchaguzi 2025 ili tuendelee kutawala.

Sababu ya wananchi kuwa mazuzu na mazwazwa pia vilaza tutawapa kofia,chumvi nk watasahau shida zote na kuimba nyimbo pendwa ya "wataisoma namba CCM mbele kwa mbele"

"Ujinga wa fikra ni mbaya Sana katika dunia"

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mshamba alishakufa na sasa tuna bon town kwani shida iko wapi?
 
Trilioni 30 ni hela ndogo sana kuleta maendeleo uliyoyataja.
Bado inatakiwa tukope zaidi. Deni la taifa la nje kwa mfano limebaki stagnant Sept. 2021 hadi Sept. 2022, limepungua/ limebaki vilevile.
Hata deni la ndani linatakiwa liongezeke.
Tupo masikini sana, kwa hiyo tukope hela tujenge nchi. Hatuwezi kuendelea bila hivyo.
Hahaha
 
Hivi tunajua thamani ya hiyo trillion 30 ambayo serikali ya Samia imekopa ndani ya miezi 20? Mfano tungeamua kujenga barabara ya lami njia nne (Sio mbili) ili kupunguza msangamano na ajali kutoka Dar es Salaam mpaka Tunduma tungetumia trion 3.9 tu kati ya hizo trion 30 zilizokopwa kwa mwaka mzima. Kutokana na shida ya maji iliyopo nchini basi bilion 400 zilikuwa zinatosha kununua magari ya kuchimba visima na vifaa vyake katika halmashauri zote nchini pamoja na kujenga mradi wa maji bwawa la Kitunda kwa upande wa Dar. Ujenzi wa vituo vya afya vilivyobakia nchi nzima pamoja na kukomesha adha ya uhaba wa madarasa pamoja na madawati ulihitaji asilimia 16 ya hizo trillion 30 zilizokopwa kwa ndani ya miezi 20
Good Read
 
Hoid

Kwa sasa deni lote ni 56% ya GDP kwa hivyo tukope zaidi halafu tuishie wapi? Kwa sasa deni zima ni Trilioni 91-94, sasa tukiendelea kukopa zaidi kwa hii miaka mitatu tutafika asilimia 70, ambayo ni hatari.
 
Unamaanisha nini tuishie wapi?
Tukope zaidi tujenge miradi mikubwa itakayotupa faida.
Kwani kuopa lazima nje? Trilioni 90 is peanuts kwa nchi ya watu milioni 67, yaani average ya deni ni milioni 1.5.
Wastani wa deni la nchi kwa kila mmarekani ni milioni 300 za kitanzania.

Hatuwezi kuendelea bila kuopa hela nyingi, nashauri deni liwe angalau trilioni 500.
 
Back
Top Bottom