mbenge
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 4,864
- 10,483
Ni takwa la wakati sasa kwa deni la taifa kufanyiwa ukaguzi na ofisi ya CAG kwa muda wa miaka mitano iliyopita. Kuacha kulichunguza kwa kina ongezeko la muda mfupi kutoka TZS 64Tr hadi kufikia TZS 91Tr litakuwa ni jambo la kushangaza mno.
Shahuku kubwa katika ukaguzi huu ni kutaka kutambua ni miradi gani na imegharamiwa kwa kiasi gani na fedha hizo zitokanazo na mikopo hiyo. Ndiyo! Hata kama tunaambia kuwa deni hili ni stahimilivu, lakini ni vyema kama taifa tukajiridhisha kila shilingi jinsi ilivyotumika kutokana na vigezo mahususi vilivyopo.
Inashangaza sana katika kipindi ambapo serikali imeleta tozo za ajabu ajabu, sambamba na kujinasibu kuwa inavuka malengo katika ukusanyaji wa kodi kwa kiasi kikubwa, ndipo kipindi hicho hicho inakopa kwa kupindukia.
Either, very disappointedly we've been told without justifiable narrations that, recently our national reserve has dropped from $6.7Bn to $4.5Bn.