TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,747
hii ndiyo justification ya Tanzania kuendelea kutembeza bakuli tena hadi kwa kukubali masharti ya ushoga??Hadi kufikia Septemba mwaka 2018, deni la Kenya linakisiwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 5.1, Deni la Tanzania likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 2.5 wakati Uganda deni lake likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 1
Kenya’s public debt doubles that of Tanzania, 5 times more than Uganda’s
unapimaje uchumi wa nchi?. Soda tunanunua kwa shilngi za Kitanzania 500, Kenya Soda ni Shilingi ngapi za Kenya ambazo ni sawa na shiliongi ngapi za Tanzania? tofauti yake na shilingi 500 za Tanzania ni kiasi gani?Je uchumi wa Tanzania ni sawa sawa na wa Kenya au na Uganda?
Mbona hutwambii uchumi wa Kenya ni mara ngapi ya uchumi wa Tanzania?Hadi kufikia Septemba mwaka 2018, deni la Kenya linakisiwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 5.1, Deni la Tanzania likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 2.5 wakati Uganda deni lake likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 1
Kenya’s public debt doubles that of Tanzania, 5 times more than Uganda’s
Angalia hata mishahara ya watumishi wa umma mfano madaktari wa kenya na Tanzania hapa, pia angalia hata GDP yao na ya kwetu hapa, angalia exports zao na za kwetu hapa halafu uje uulize unapimaje uchumiunapimaje uchumi wa nchi?. Soda tunanunua kwa shilngi za Kitanzania 500, Kenya Soda ni Shilingi ngapi za Kenya ambazo ni sawa na shiliongi ngapi za Tanzania? tofauti yake na shilingi 500 za Tanzania ni kiasi gani?
Kiuchumi nani yupo juu? Hata hivyo wewe ukiwa unadaiwa 1000 lakini huna nyumba wala gari huwezi kujiona una nafuu kwakuwa jirani yako anadaiwa 2000 wakati ana nyumba tano za ghorofa na gari 5. Utakuwa ni mbumbu mzungu wa reli ulimwengu uko huku kama utashangilia na kujiona una nafuu.Hadi kufikia Septemba mwaka 2018, deni la Kenya linakisiwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 5.1, Deni la Tanzania likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 2.5 wakati Uganda deni lake likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 1
Kenya’s public debt doubles that of Tanzania, 5 times more than Uganda’s
Hadi kufikia Septemba mwaka 2018, deni la Kenya linakisiwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 5.1, Deni la Tanzania likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 2.5 wakati Uganda deni lake likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 1
Kenya’s public debt doubles that of Tanzania, 5 times more than Uganda’s
Je uchumi wa Tanzania ni sawa sawa na wa Kenya au na Uganda? Tuangalie mishahara wanayolipwa watumishi wa umma Kenya na Tanzania vinawiana? Hata magari ywliyopo barabarani Kenya na Tanzania ni tofauti sana
Dah Bib yangu alikua analipenda sana hili nenoUtakuwa ni mbumbu mzungu wa reli
hii ndiyo justification ya Tanzania kuendelea kutembeza bakuli tena hadi kwa kukubali masharti ya ushoga??
Kwahiyo? Sasa shilingi yetu iko juu mara tano ya Kenya!Hadi kufikia Septemba mwaka 2018, deni la Kenya linakisiwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 5.1, Deni la Tanzania likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 2.5 wakati Uganda deni lake likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 1
Kenya’s public debt doubles that of Tanzania, 5 times more than Uganda’s
Mbumbumbu mzungu wa reli.Kiuchumi nani yupo juu? Hata hivyo wewe ukiwa unadaiwa 1000 lakini huna nyumba wala gari huwezi kujiona una nafuu kwakuwa jirani yako anadaiwa 2000 wakati ana nyumba tano za ghorofa na gari 5. Utakuwa ni mbumbu mzungu wa reli ulimwengu uko huku kama utashangilia na kujiona una nafuu.