Deni La Taifa La Kenya Ni Mara Mbili Ya Deni La Tanzania Na Mara Tano Ya Deni La Uganda

Kwani hujaskia kama kenya wanategemea kuuza bandari kwa wachina. Sgr imeajiri wachina asilimia kubwa. GDP inaweza kuwa kubwa lakini wanaofaidika ni wachina wa kikenya au chines-kenyan
Mzee kwaio unataka kusema GDP ya Tanzania ni ndogo kwaio wanaofaidika kiuchumi ni watanzania? Wakati asilimia kubwa ya uchumi wa Tanzania umeshikiliwa na wahindi na waarabu? Sio point kusema Kenya ina GDP kubwa na wanaofaidika ni Wachina swala la msingi unaangalia indicators kadhaa mfano huduma za afya, maslahi kwa wafanyakazi, ubora wa elimu inayotolewa hivyo vitu kwa asilimia 90% haviwezi kulingana na nchi kama Tanzania
 
KWA MAGARI, TZ TUPO VIZURI.. nipo nafanya kazi na wakenya, wanasema waTZ wanapenda magari makubwa makubwa.. infact gari nyingi wamezionea hapa, kule kwao hazipo..!
Hapana kwa magari mazuri na ya miaka ya karibuni Kenya wapo vizuri maana unaweza kuta unataka spare ya subaru lakini bongo haipo mpaka uende Kenya hata ukiangalia kwenye TV magari latest mengi yapo kenya compared na Tanzania
 
Angalia hata mishahara ya watumishi wa umma mfano madaktari wa kenya na Tanzania hapa, pia angalia hata GDP yao na ya kwetu hapa, angalia exports zao na za kwetu hapa halafu uje uulize unapimaje uchumi
Nilitaka nikujibu lakini 1st comment imemaliza kila kitu.

Kama kichwa chako kigumu nikueleze kwa mfani.

Wewe kipato chako ni 1m kwa mwez. Dewij ni 100 kwa mwezi.

Unadaiwa 10m huku dewij anadaiwi 20m . Nani apo anadeni kubwa na nani apo deni lipo likely kulipika?
Mengi ni yakweli lakini tujadili kwa jicho la kiuchumi kwamba pamoja na hayo yote je ni kipi cha faida au hasara kama nchi kukiwa na deni kubwa ambalo sio himilivu

Kwa harakaraka sio vibaya sana kukopa wala kudaiwa ila cha msingi ni value for money kwenye huo mkopo lakini lingine kubwa zaidi ni kwamba kuna percentage ukifika haukopesheki tena kama Taifa.

Mjadala ungenoga kama tungepata takwimu kutoka pande zote mbili kwa kila mkopo ulikopwa na ukafanyia nini na je kina mantiki kwenye maisha ya mwananchi kwa pande zote mbili?

Ni kweli Marekani nayo inadaiwa lakini ndio yenyewe inayochapisha dollars ambazo kila nchi inazihitaji kwenye national treasury reserves, naona marekani tumtoe kwenye hili.
 
Point yangu ni kwamba hauwezi kulinganisha deni la taifa la Tanzania na Kenya maana Kenya wametuacha mbali kiuchumi hivyo ni sahihi wao kua na deni la taifa mara mbili kuzidi la kwetu maana hata huduma zinazotolewa Kenya na Tanzania ni tofauti kwetu ni duni na huko Kenya kuna uafadhali mkubwa
 
KWA MAGARI, TZ TUPO VIZURI.. nipo nafanya kazi na wakenya, wanasema waTZ wanapenda magari makubwa makubwa.. infact gari nyingi wamezionea hapa, kule kwao hazipo..!

Kwani unafanya kazi wapi hasa?
Imports za magari Kenya, last data nimepata zilikuwa 100,000.
Imports za magari Tanzania, zilikuwa 55,000.

Kuna magari karibu mara mbili kwa barabara za Kenya.
 
Point yangu ni kwamba hauwezi kulinganisha deni la taifa la Tanzania na Kenya maana Kenya wametuacha mbali kiuchumi hivyo ni sahihi wao kua na deni la taifa mara mbili kuzidi la kwetu maana hata huduma zinazotolewa Kenya na Tanzania ni tofauti kwetu ni duni na huko Kenya kuna uafadhali mkubwa
Tafadhali toa mifano ukiambatanisha na reliable sources, unaposema wametuacha kiuchumi, unatumia parameters zipi za uchumi, kumbuka uchumi haupimwi kwa kutumia kigezo kimoja au viwili.

Unaposema huduma zinazotolewa Kenya ni bora, Tafadhali ainisha hizo Huduma ambazo ni bora na utupe vigezo vya ubora unavyotumia ili na sisi tuvijue na kujifunza, hepuka sana kutumia hisia na maneno ya kusikia.
 
Point yangu ni kwamba hauwezi kulinganisha deni la taifa la Tanzania na Kenya maana Kenya wametuacha mbali kiuchumi hivyo ni sahihi wao kua na deni la taifa mara mbili kuzidi la kwetu maana hata huduma zinazotolewa Kenya na Tanzania ni tofauti kwetu ni duni na huko Kenya kuna uafadhali mkubwa
Ni kweli kuna tofauti ya 22 billion kwenye GDP yetu na Kenya kwa takwimu za 2017, kwenye huduma za jamii Kenya na Tanzania hakuna gape la maana lakini pia Nigeria ambayo ndio inaitwa giant of Africa ina deni dogo kuliko Kenya japo GDP yake ni 375 billion dollars na Kenya ni 74 billion dollars, hapo tunapata picture gani ya kiuchumi?
 
Kwani unafanya kazi wapi hasa?
Imports za magari Kenya, last data nimepata zilikuwa 100,000.
Imports za magari Tanzania, zilikuwa 55,000.

Kuna magari karibu mara mbili kwa barabara za Kenya.
Waafrika huwa wanaangalia matumizi katika kuamua how the person rich he/she is, Mzungu anaangalia investments na savings.

Kenya mnajulikana kwa matumizi makubwa, zaidi ya uwezo wenu, ndio sababu mnapanga bajeti kubwa na mishahara mikubwa wakati Revenues zenu haziendani na matumizi yenu, matokeo yake mnakopa ili kulipa madeni, mnauza KPA ili kujazia bajeti ya nchi.
 
Je kwa nukta hiyo ya Nigeria na Kenya kwenye utofauti wa madeni japo Nigeria ndio leading African economy bado ni hoja kwamba mwenye GDP kubwa ndio anatakiwa kua na deni kubwa zaidi kwenye mantiki ya kiuchumi? Karibu Lyamber
 
Angalia hata mishahara ya watumishi wa umma mfano madaktari wa kenya na Tanzania hapa, pia angalia hata GDP yao na ya kwetu hapa, angalia exports zao na za kwetu hapa halafu uje uulize unapimaje uchumi
Chumi hizi mbili zipo sawa (PPP ndiyo inayotumika kuangalia uwezo a wananchi kua na bidhaa mbalimbali). GDP ya exchange rate si kipimo kizuri cha hali ya uchumi.
 
Waafrika huwa wanaangalia matumizi katika kuamua how the person rich he/she is, Mzungu anaangalia investments na savings.

Kenya mnajulikana kwa matumizi makubwa, zaidi ya uwezo wenu, ndio sababu mnapanga bajeti kubwa na mishahara mikubwa wakati Revenues zenu haziendani na matumizi yenu, matokeo yake mnakopa ili kulipa madeni, mnauza KPA ili kujazia bajeti ya nchi.

Kwa nchi nyingi, gari ni necessity. Lakini LDC mnaifanya kuwa luxury, kwa sababu hamuwezi afford.
Nchini US, karibu 90% ya households zina gari at least moja.
Gari haionyeshi utajiri wa mtu binafsi, lakini kwa ujumla inaonyesha utajiri wa nchi.

Huyu mzungu ambaye unamsifia anaangalia investments na savings, already ako na gari kwa sababu ni necessity.
 
Wewe akili zako zipo kwapani, hata kama ni necessity lazima uwe na uwezo wa kununua, vipi Kenya gari iwe ni necessity wakati millions of you mnaishi katika Slums, hamna chakula cha kutosha, maji ni mgao.

Huwezi kusema gari ni necessity wakati zaidi ya 78% Nairobians wanaishi katika rented houses ambazo zinamilikiwa na watu wachache. Ninyi wakenya mna matatizo ya kupanga priorities, ona sasa deni la Taifa Leo limefikia 75% na bado mpo na njaa, slums, inflation is rising.
 
Chumi hizi mbili zipo sawa (PPP ndiyo inayotumika kuangalia uwezo a wananchi kua na bidhaa mbalimbali). GDP ya exchange rate si kipimo kizuri cha hali ya uchumi.
Nano kazungumzia exchange rate? Kenya ina export bidhaa nyingi sana tofauti na Tanzania ila sababu ni mbishi ngoja nikubali kwamba uchumi wa Kenya na Tanzania upo sawa
 
Wewe tatizo huna unachojua unapiga domo tu, hivi hujui kwamba Tanzania ni nchi pekee ambayo exports more than what it imports in East and Central Africa. Nikuletee ushahidi?
 
Ni kweli kuna tofauti ya 22 billion kwenye GDP yetu na Kenya kwa takwimu za 2017, kwenye huduma za jamii Kenya na Tanzania hakuna gape la maana lakini pia Nigeria ambayo ndio inaitwa giant of Africa ina deni dogo kuliko Kenya japo GDP yake ni 375 billion dollars na Kenya ni 74 billion dollars, hapo tunapata picture gani ya kiuchumi?
Kwaio unachotaka kusema ni kwamba uchumi wa Kenya na Tanzania ni sawa? Unaposema hakuna Gap la maana kwenye huduma za kijamii maana yake nini? Hio tofauti iliopo ndo inayofanya uchumi usiwe unafanana maana Kenya ni Capitalist Country wakati Tanzania haieleweki mara mixed economy mara ujima mara serikali inafanya biashara yani nchi haikp well defined
 
Wewe tatizo huna unachojua unapiga domo tu, hivi hujui kwamba Tanzania ni nchi pekee ambayo exports more than what it imports in East and Central Africa. Nikuletee ushahidi?
Hahahaha kwamba Tanzania ina export vitu vingi sana kuliko inavyo import? Hahahaha ingekua inatoza kodi hata ukiwa na perfume zaidi ya 5 tu za either 2.2L au kua na alcohol chupa 3 unatozwa kodi leta hapa huo ushahidi? Tuone
 
Back
Top Bottom