Deni La Taifa La Kenya Ni Mara Mbili Ya Deni La Tanzania Na Mara Tano Ya Deni La Uganda

Mbona uchumi wao huulinganishi, linganisha basi tukuelewe vizuri, msomi wetu
Unajua maana ya uchumi bora?, mwenye uchumi mkubwa ni yule ambaye kipato chaki kinachobaki baada ya kutenga matumizi ya misingi(yakiwemo madeni), ni kikubwa.

Big economy = Income - Basic needs
Kwahiyo "income " lazima ilindwe kwa kupunguza kwa kupanda kwa gharama za "Basic needs" au kwa lugha rahisi zinajulikana kama gharama za maisha, hapo ndipo wakenya wanaposhindwa, gharama za maisha Kenya zipo juu sana ukilinganisha na income.
 
Hivi hayo magorofa na magari ya wakenya unayoya brand ww unafikiri ni ya wakenya, hapo kuna ukoko Wa manyang'au makoloni yameshikilia uchumi, Kenya zimejaa slums za kutosha hafu unatuambia kila mtu anaghorofa ya kwenda wapi
Mkuu mimi nimetoa mfano rahisi sana wa ufafanuzi kuwa unaweza kuwa unadaiwa kidogo lakini wewe ni masikini sana na mwenzako akawa anadaiwa mara mbili yako lakini ukilinganisha hicho anachodaiwa bado yupo juu kiuchumi kuliko wewe unayedaiwa kidogo. Soma tena sijazungumzia maghorofa na magari ya Kenya hapo na hakuna neno Kenya kwenye maelezo yangu nimetumia mfano wa watu wawili ili kuonesha kuwa kudaiwa mara mbili haina maana ndio mtu ana matatizo zaidi kuliko anayedaiwa mara moja

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Deni la nje la Tanzania hadi sasa ni siri, je, umelinganishaje na deni la Kenya ikiwa la Tanzania ni siri
[emoji849][emoji849][emoji849] siri kivip? umesahau Kuwa wanao tudai ndio wanatoa data
 
Wewe akili zako zipo kwapani, hata kama ni necessity lazima uwe na uwezo wa kununua, vipi Kenya gari iwe ni necessity wakati millions of you mnaishi katika Slums, hamna chakula cha kutosha, maji ni mgao.

Huwezi kusema gari ni necessity wakati zaidi ya 78% Nairobians wanaishi katika rented houses ambazo zinamilikiwa na watu wachache. Ninyi wakenya mna matatizo ya kupanga priorities, ona sasa deni la Taifa Leo limefikia 75% na bado mpo na njaa, slums, inflation is rising.

Millions of Kenyans are poor. But more Tanzanians are poorer. Nini ngumu ya kuelewa hapo?

The same way, more Kenyans are richer than Tanzanians. Ndio maana more Kenyans can afford cars than Tanzanians.

By the way over 70% of Kenyans live in their own homes. That's because most Kenyans live in rural areas.

Lakini ukija kwa cities, there are more renters than home owners. Hata New York ni the same story.
 
Nimefuatilia kwa umakini mijadala pamoja na namna threader alivyopresent mada na kama ni wale wanazi tunaowajua lakini nimeona hana kosa linalostahili hii hasira yako juu yake.

Nimeona ameripoti kama kilivyo kutoka kwenye source kwenye link hajaongeza wala hajapunguza jambo

Punguza stress ndugu jadili kwa mantiki sio personal attack.
Watanzania wengine sijui wana shida gani aiseee..
Sijui ndo tuseme elimu,sijui tuseme stress yaani watanzania tumekuwa tafrani,binafsi sijaona kosa la mtoa mada,ila jamaa wamemshambulia balaa..pia inawezekana ktk jamii zetu watz kuna wakenya wanaojifanya watanzania..nini kosa la mtoa mada!
 
Nano kazungumzia exchange rate? Kenya ina export bidhaa nyingi sana tofauti na Tanzania ila sababu ni mbishi ngoja nikubali kwamba uchumi wa Kenya na Tanzania upo sawa
Kenya ina export bidhaa nyingi kuliko tz????..hivi unachokiposti unakijua vizuri??
 
Hahaaa am really enjoying this mdahalo mannnn. Tz imesamehewa deni Mara mbili ilhali Kenya haijawahi samehewa deni lolote. Pambaneni na hali yenu Kenya hamuiwezi. We know Kenya is in a debt crisis right now but we as Ugandans will stand by them although they tried to interfere with our internal affairs I mean politics.
Toka hapa we si mganda,wewe mkenya..
Mganda hawezi kuwa na akili za kijinga hivyo..
 
Mkuu mimi nimetoa mfano rahisi sana wa ufafanuzi kuwa unaweza kuwa unadaiwa kidogo lakini wewe ni masikini sana na mwenzako akawa anadaiwa mara mbili yako lakini ukilinganisha hicho anachodaiwa bado yupo juu kiuchumi kuliko wewe unayedaiwa kidogo. Soma tena sijazungumzia maghorofa na magari ya Kenya hapo na hakuna neno Kenya kwenye maelezo yangu nimetumia mfano wa watu wawili ili kuonesha kuwa kudaiwa mara mbili haina maana ndio mtu ana matatizo zaidi kuliko anayedaiwa mara moja

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Kaka umesoma statistics japo kidogo?, hili deni limetolewa as percentage ya kipato cha nchi, sasa wewe hii habari ya kudaiwa kidogo lakini masikini inakujaje?.

Ukidaiwa 50% ya kipato chako, na anayedaiwa 20% ya kipato chake havina uhusiano na exact amount ya deni. Kama wewe kipato chako ni Shilingi 1000 lakini deni ni 50%, maana yake unabakiwa na Shilingi 500, na nwenzako kipato chake ni Shilingi 800 na anadaiwa 20%, maana yake atabakiwa na 640, je nani hapa atakua ni tajiri zaidi ya mwenzake?. Ogopa madeni yasiokuwa ya lazima, ndio chanzo cha umasikini.
 
Millions of Kenyans are poor. But more Tanzanians are poorer. Nini ngumu ya kuelewa hapo?

The same way, more Kenyans are richer than Tanzanians. Ndio maana more Kenyans can afford cars than Tanzanians.

By the way over 70% of Kenyans live in their own homes. That's because most Kenyans live in rural areas.

Lakini ukija kwa cities, there are more renters than home owners. Hata New York ni the same story.
World Bank imetoa data zinazoonyesha kwamba population below poverty line Tanzania ni 26.7%, Kenya ni 42%, wewe hizo data zako umezitoa Kibera?, acha kupiga domo lete data za UN. Unajua maana ya inclusive index in Economics?, hiyo ndio inayoelezea kwanini wakenya wengi ni masikini kuliko Tanzania, Tafadhali support your argument by credible references acha kutumia mawazo yako vile mlivyojazwa ujinga na media zenu.
 
Kenya has the highest rate of unemployment in East Africa - UNDP report
Katika hali hii bado unasema Kenyans are richer, huo utajiri wanatoa wapi wakati hawana kazi za kuwaingizia kipato?, acha kupelekwa na hisia, majority of Kenyans are very poor compared to Tanzanians
 
Uwongo wako na kupika data zako zinakufanya usahau kwamba huu uwongo ni mimi uliambia tena juzi tu.

Hakuna ripoti ya world bank inayosema umaskini wa kenya ni 42%.

Lakini kuna ripoti mingi zinazosema umaskini wa Tanzania ni namba 3 ama 4 Africa.
Africa nzima, population kubwa yenye inaishi kwa extreme poverty iko hivi.

1. Nigeria
2. Ethiopia
3. DRC
4. Tanzania
 
Kenya has the highest rate of unemployment in East Africa - UNDP report
Katika hali hii bado unasema Kenyans are richer, huo utajiri wanatoa wapi wakati hawana kazi za kuwaingizia kipato?, acha kupelekwa na hisia, majority of Kenyans are very poor compared to Tanzanians
Ukweli hauupendi wewe. Tanzania is the poorest country in East and central Africa. Furthermore, there is no way a lower middle income country can have more poor citizens than elodisi country
 
Kenya tumekwambia mara mingi kwamba wauza makaa, njugu na wachoma mahindi hawahesabiwi kama 'employed'. Lakini ukweli ni kwamba wanapata pesa kwa kazi zao.

Kupima utajiri ni very easy.
Kama unasema watanzania ni tajiri kuliko wakenya, kwanini hamna material possessions mingi kama wakenya.
Gari zilizo barabarani Kenya ni mingi. Electronics tunazoimport ni mingi. nk.

Pesa yenu mnapeleka wapi?
 
World Bank imetoa data zinazoonyesha kwamba population below poverty line Tanzania ni 26.7%, Kenya ni 42%, wewe hizo data zako umezitoa Kibera?, acha kupiga domo lete data za UN. Unajua maana ya inclusive index in Economics?, hiyo ndio inayoelezea kwanini wakenya wengi ni masikini kuliko Tanzania, Tafadhali support your argument by credible references acha kutumia mawazo yako vile mlivyojazwa ujinga na media zenu.

extreme.JPG
 
Kenya tumekwambia mara mingi kwamba wauza makaa, njugu na wachoma mahindi hawahesabiwi kama 'employed'. Lakini ukweli ni kwamba wanapata pesa kwa kazi zao.

Kupima utajiri ni very easy.
Kama unasema watanzania ni tajiri kuliko wakenya, kwanini hamna material possessions mingi kama wakenya.
Gari zilizo barabarani Kenya ni mingi. Electronics tunazoimport ni mingi. nk.

Pesa yenu mnapeleka wapi?
Tatizo lenu ni akili ndogo, unadhani duniani tunaishi kwa akili za vijiweni kama ninyi, hii ni ripoti ya WB ya 2015 inaonyesha watanzania below poverty line ni 28%Tanzania Mainland Poverty Assessment: A New Picture of Growth for Tanzania Emerges
Ninakuleta ya 2018 uone Uchumi wa Tanzania unavyokwenda vizuri.
Acha argument za vijiweni zisizo na reference badala yake unatumia maneno ya mitaani, lete report inayoonyesha wakenya wana posses materials zaidi ya watanzania.
 
Kwa nini huleti ripoti ya Kenya?

Alafu, unafaa ufahamu jambo moja muhimu. International Poverty line huwa inakuwa revised every few years na World Bank kwa sababu ya inflation.
Mwaka wa 2005, ilikuwa $1
Mwaka wa 2008, ilikuwa $1.25
Mwaka wa 2015 hadi sasa, ni $1.9

Poverty threshold - Wikipedia

Sasa, kwa hio ripoti unayoleta, World Bank yenyewe imesema kwamba 70% of Tanzanians wanaishi below $2 a day.
Unaleta ripoti ambayo ina prove ninacho sema. Bongolala kweli.

tz.JPG
 
Ukweli hauupendi wewe. Tanzania is the poorest country in East and central Africa. Furthermore, there is no way a lower middle income country can have more poor citizens than elodisi country
Overview
Nyanyangu jielimishe kwa kusoma hiyo the most up to dated report ya WB ndio utagundua kwanini Kenya ni failed state.
 
Back
Top Bottom