Deni La Taifa La Kenya Ni Mara Mbili Ya Deni La Tanzania Na Mara Tano Ya Deni La Uganda

Deni La Taifa La Kenya Ni Mara Mbili Ya Deni La Tanzania Na Mara Tano Ya Deni La Uganda

Acha kutumia report za zamani, from unreliable sources, tumia IMF na WB ndio wenye last say. Soma vizuri hii report ya WB ya 2017 na ulinganishe na report ya WB ya Kenya ya 2017.
Overview
Hii inaonyesha 26.8% Tanzanians below poverty line
Wewe acha kutumia maneno ya mitaani, tumia credible references.

Hio ripoti yako ya World Bank inasema kwamba 70% of Tanzanians live below $2.
Ambayo ndio the new international poverty line tangu 2015.

tz.JPG
 
Hehehee wewe kwanza unatuletea data za 2015.Lete za 2018.poverty index
Hii ni report ya 2017, ambayo imecover hadi 2016, hii ndio the latest report ya WB, ripoti ya 2018 haijatoka ambayo itacover up to 2017. Hiyo Nina kuhakikisha poverty level utakua below 24%.
 
Hio ripoti yako ya World Bank inasema kwamba 70% of Tanzanians live below $2.
Ambayo ndio the new international poverty line tangu 2015.

View attachment 940535
From now on stop comparing Kenya and Tanzania, lete ripoti ya WB kuhusu Kenya ya 2017 kama hiyo, uone jinsi wakenya mlivyo masikini, ninyi mnajazwa ujinga na media zenu mnadhani mnaweza kupambana na Tanzania, forget about that.
 
Hii ni report ya 2017, ambayo imecover hadi 2016, hii ndio the latest report ya WB, ripoti ya 2018 haijatoka ambayo itacover up to 2017. Hiyo Nina kuhakikisha poverty level utakua below 24%.
Majority of Tanzanians live under $1 per day compared to KenyansKenyans and this is a fact that you've kept denying even when statistics are open for you to see.
 
From now on stop comparing Kenya and Tanzania, lete ripoti ya WB kuhusu Kenya ya 2017 kama hiyo, uone jinsi wakenya mlivyo masikini, ninyi mnajazwa ujinga na media zenu mnadhani mnaweza kupambana na Tanzania, forget about that.

Lol.
Makosa yako ni uzembe wa kusoma ripoti zenye wewe mwenyewe unaleta hapa.

World Bank yenyewe kwa hiyo ripoti umepost hapa, inasema kwamba 70% ya Watanzania wanaishi below the international poverty line.
Ni jambo gani lingine unahitaji kuskia.
Wewe mwenyewe umesema kwamba World Bank na IMF wana final say.

tz.JPG

Ndio hii nayo ya Kenya.
World Bank wenyewe wamesema kwamba only 36.1% of Kenyans wanaishi chini ya $1.9 a day.

In summary:

Tanzania population below $1.9 a day - 70%
Kenya population below $1.9 a day - 36%

Nenda kasome hapa - Poverty Incidence in Kenya Declined Significantly, but Unlikely to be Eradicated by 2030

kenya.JPG
 
Attachments

  • kenya.JPG
    kenya.JPG
    21 KB · Views: 14
Lol.
Makosa yako ni uzembe wa kusoma ripoti zenye wewe mwenyewe unaleta hapa.

World Bank yenyewe kwa hiyo ripoti umepost hapa, inasema kwamba 70% ya Watanzania wanaishi below the international poverty line.
Ni jambo gani lingine unahitaji kuskia.
Wewe mwenyewe umesema kwamba World Bank na IMF wana final say.

View attachment 940565

Ndio hii nayo ya Kenya.
World Bank wenyewe wamesema kwamba only 36.1% of Kenyans wanaishi chini ya $1.9 a day.

In summary:

Tanzania population below $1.9 a day - 70%
Kenya population below $1.9 a day - 36%

Nenda kasome hapa - Poverty Incidence in Kenya Declined Significantly, but Unlikely to be Eradicated by 2030

View attachment 940568
Sasa unakataa nini, hii ripoti ya Kenya inaonyesha poverty level yenu ni 36% wakati Tanzania ni 26%, the same WB haiwezi kutumia vigezo tofauti. Never again compare Tanzania na failed state.
 
hii ndiyo justification ya Tanzania kuendelea kutembeza bakuli tena hadi kwa kukubali masharti ya ushoga??
Masharti ya ushoga hata wananchi pia wanaonekana kuyakubali. Kuna mada humu za watu wenye kulalamika kitendo cha serikali kuwa against na mashoga. Wengine wakinungu'nika kukosa misaada kutoka nje na wengine wakifurahia balozi wa Tanzania kuitwa na kujieleza kuhusu ilo suala... Kwaio serikali usiilaumu, anza na wananchi ambao wameterereka baada ya kusikia akina Sweden hawatotoa misaada kwa sababu Tanzania inakataa mashoga.
 
Hadi kufikia Septemba mwaka 2018, deni la Kenya linakisiwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 5.1, Deni la Tanzania likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 2.5 wakati Uganda deni lake likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 1

Kenya’s public debt doubles that of Tanzania, 5 times more than Uganda’s
Kwa hiyo na wewe umelipwa kuleta hiki kituko!!? Lumumba Fools Club (LFC) mnapokea hela ya bure kwa kweli. Hivi namiliki Gari la kusafirisha mizigo na ninadaiwa 600,000/- nilizokopa kununua tairi. Wewe unamiliki baiskeli unadaiwa 300,000 za chakula na matibabu na matengenezo ya baiskeli yako, ndo uanze kunicheka Mimi nina deni Mara 2 ya deni lako.?
 
Uwezo wa kukopa na kiasi nchi inaweza kukopa kinaendana na ukubwa wa uchumi wake. Kenya kiuchumi wako mbali sana kilinganisha na Tz. Labda KwaZulu kulinganisha vizuri tungepata uwiano wa deni na GDP ukilinganisha na wa Tz.
Hadi kufikia Septemba mwaka 2018, deni la Kenya linakisiwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 5.1, Deni la Tanzania likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 2.5 wakati Uganda deni lake likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 1

Kenya’s public debt doubles that of Tanzania, 5 times more than Uganda’s
 
Kwaio unachotaka kusema ni kwamba uchumi wa Kenya na Tanzania ni sawa? Unaposema hakuna Gap la maana kwenye huduma za kijamii maana yake nini? Hio tofauti iliopo ndo inayofanya uchumi usiwe unafanana maana Kenya ni Capitalist Country wakati Tanzania haieleweki mara mixed economy mara ujima mara serikali inafanya biashara yani nchi haikp well defined
Kwanza punguza jazba kisha tupo kwenye point ya Kenya na Nigeria rationing their GDPs in relation to their national debts, Tanzania tulishaiweka kando sababu kwa hoja yako nchi yenye GDP kubwa inatakiwa kua na Big debt compared to the low GDP, baada ya kuangalia Nigeria ambayo sio tu bigger economy compared to Kenya lakini pia ndio African leading economy na imeipita hata baadhi ya nchi za Ulaya lakini bado ina deni dogo zaidi kulinganisha na Kenya.

Kwa hiyo hoja yako haina mashiko, Kenya na nchi nyingine ambazo zinadaiwa sana zipo hatarini kutokopeshwa hata mikopo ya dharura, sioni hoja ya Kenya kuonekana bora kwenye hili la kua na deni kubwa kisa tu eti imeipita Tanzania, hoja fupi sana
 
Kwa nchi nyingi, gari ni necessity. Lakini LDC mnaifanya kuwa luxury, kwa sababu hamuwezi afford.
Nchini US, karibu 90% ya households zina gari at least moja.
Gari haionyeshi utajiri wa mtu binafsi, lakini kwa ujumla inaonyesha utajiri wa nchi.

Huyu mzungu ambaye unamsifia anaangalia investments na savings, already ako na gari kwa sababu ni necessity.
Gari ni ufahari kwenye nchi za ulimwengu wa tatu lakini huko kwengine saivi wamazikimbia gari sababu za

additional costs to maintain and repair it.

Cars have increased the level of air and noise pollution in cities, causing more humans to suffer from respiratory, heart diseases, or cancers.

City travellers have to spend longer hours on traffic jams.

Using more private car, the density of traffic has been increased phenomenally and citizens have had to stay longer time on traffic load.

As the number of private cars increased, more car passengers have been injured or died by severe accidents.

More pedestrians’ accidents have been reported annually.

As the usage of private cars increases, it is more probable that people walking through the street die by them.

Private car is more expensive than the public transportation.

Paying huge money for tax, renewing of licence, or air care, people have to pay more for using cars.

More fossil fuels are consumed as more cars are used by people, leading other generations to face a shortage of these fuels.

The governmental expense will be raised far dramatically. To build and maintenance of more highways for more cars, hire more police force, the local government have to consider a larger budget.

The use of cars to commute has decreased the average health of car users as they do not need to do any physical movement.

The consumption of fuels to run the car is contributing to the rise if global warming and affecting the ozone layer.

The car owners need to worry about the safety and parking places for cars wherever s/he travels.
 
Hii itatupa kiburi watanzania kuwa kumbe deni letu ni ndogo ulilinganisha na nchi jirani. Hapa tutaomba misaada ata kwa masharti ya kukonkiwa kimaster master
 
Back
Top Bottom