joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Unajua maana ya uchumi bora?, mwenye uchumi mkubwa ni yule ambaye kipato chaki kinachobaki baada ya kutenga matumizi ya misingi(yakiwemo madeni), ni kikubwa.Mbona uchumi wao huulinganishi, linganisha basi tukuelewe vizuri, msomi wetu
Big economy = Income - Basic needs
Kwahiyo "income " lazima ilindwe kwa kupunguza kwa kupanda kwa gharama za "Basic needs" au kwa lugha rahisi zinajulikana kama gharama za maisha, hapo ndipo wakenya wanaposhindwa, gharama za maisha Kenya zipo juu sana ukilinganisha na income.