Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mleta mada either anaumwa utapiamlo au ana matatizo ya ubongo,yaani Kenya wenzetu mambo ya Sgr walisha sahau na sasa treni inapiga mzigo kitambo wakati sisi ndiyo tunapasua kokoto bado,Kenya madege yao yalishaanza kupasua anga Nairobi to USA,alafu anajilinganisha na Kenya?
Elimu kitu muhimu sana, tatizo siku hizi imevamiwa na watu wanaoamua kwa makusudi kuiweka pembeni kisa maslahi au ushabiki wa chama.
Unapopata habari, unajaribu kuangalia na kupima mambo kadhaa yanayoizunguka na kuhusiana na hilo jambo.
Hoja sio ukubwa au udogo wa deni, hiyo mikopo imeleta tija kwa taifa kiasi gani?