Elimu kitu muhimu sana, tatizo siku hizi imevamiwa na watu wanaoamua kwa makusudi kuiweka pembeni kisa maslahi au ushabiki wa chama.
Unapopata habari, unajaribu kuangalia na kupima mambo kadhaa yanayoizunguka na kuhusiana na hilo jambo.
Hoja sio ukubwa au udogo wa deni, hiyo mikopo imeleta tija kwa taifa kiasi gani?
Kwahiyo? Sasa shilingi yetu iko juu mara tano ya Kenya!
Hata bajeti ya Kenya ni zaidi ya mara mbili ya Bajeti ya TanzaniaHadi kufikia Septemba mwaka 2018, deni la Kenya linakisiwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 5.1, Deni la Tanzania likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 2.5 wakati Uganda deni lake likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 1
Kenya’s public debt doubles that of Tanzania, 5 times more than Uganda’s
Hata bajeti ya Kenya ni zaidi ya mara mbili ya Bajeti ya Tanzania
KWA MAGARI, TZ TUPO VIZURI.. nipo nafanya kazi na wakenya, wanasema waTZ wanapenda magari makubwa makubwa.. infact gari nyingi wamezionea hapa, kule kwao hazipo..!Je uchumi wa Tanzania ni sawa sawa na wa Kenya au na Uganda? Tuangalie mishahara wanayolipwa watumishi wa umma Kenya na Tanzania vinawiana? Hata magari ywliyopo barabarani Kenya na Tanzania ni tofauti sana
Kwani hujaskia kama kenya wanategemea kuuza bandari kwa wachina. Sgr imeajiri wachina asilimia kubwa. GDP inaweza kuwa kubwa lakini wanaofaidika ni wachina wa kikenya au chines-kenyanJe uchumi wa Tanzania ni sawa sawa na wa Kenya au na Uganda? Tuangalie mishahara wanayolipwa watumishi wa umma Kenya na Tanzania vinawiana? Hata magari ywliyopo barabarani Kenya na Tanzania ni tofauti sana
Hiyo SGR mpaka mfagiaji ni mchina. Sasa mkikuyu anafaidika na nini hapo. Hilo ndio tatizo la madeni makubwaMleta mada either anaumwa utapiamlo au ana matatizo ya ubongo,yaani Kenya wenzetu mambo ya Sgr walisha sahau na sasa treni inapiga mzigo kitambo wakati sisi ndiyo tunapasua kokoto bado,Kenya madege yao yalishaanza kupasua anga Nairobi to USA,alafu anajilinganisha na Kenya?
Hiyo SGR mpaka mfagiaji ni mchina. Sasa mkikuyu anafaidika na nini hapo. Hilo ndio tatizo la madeni makubwa
Hapo unamaanisha kuwa hawana SGR?
Hadi kufikia Septemba mwaka 2018, deni la Kenya linakisiwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 5.1, Deni la Tanzania likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 2.5 wakati Uganda deni lake likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 1
Kenya’s public debt doubles that of Tanzania, 5 times more than Uganda’s
Sas kama mtu anakukopesha gar alafu anabaki nayo yeye utasema una gari?
Stupid comparison. Kenya na Tanzania zinalingana kiuchumi? Si ajabu ukaja na mlinganisho wa deni la USA na Tanzania!!!!
Wakenya wanadaiwa sana, wenyewe wanalifahamu hilo, lakini pamoja na madeni yote hayo, ufisadi nao umekithiri.
End of Thinking Capacity zinatofautiana kichwa hadi kichwa, kwa huyu yake imeishia hapa ukitaka zaidi ya hapo labda apasuke, asante kwa taarifa, then what..?? tumajifunza nini kwa story yako uliyo research huko ulipo..??Hadi kufikia Septemba mwaka 2018, deni la Kenya linakisiwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 5.1, Deni la Tanzania likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 2.5 wakati Uganda deni lake likikadiriwa kuwa Shilingi za Kenya Trilioni 1
Kenya’s public debt doubles that of Tanzania, 5 times more than Uganda’s
Tanzania Tops Region in Democracy IndexKamwe hamuwezi kujilinganisha na Kenya kwenye nyanja zote mmepitwa vibaya sana kuanzia demokrasia,uchumi
Tanzania leads Africa in an inclusive economy-WEF reportKamwe hamuwezi kujilinganisha na Kenya kwenye nyanja zote mmepitwa vibaya sana kuanzia demokrasia,uchumi
Nimefuatilia kwa umakini mijadala pamoja na namna threader alivyopresent mada na kama ni wale wanazi tunaowajua lakini nimeona hana kosa linalostahili hii hasira yako juu yake.Mleta mada either anaumwa utapiamlo au ana matatizo ya ubongo,yaani Kenya wenzetu mambo ya Sgr walisha sahau na sasa treni inapiga mzigo kitambo wakati sisi ndiyo tunapasua kokoto bado,Kenya madege yao yalishaanza kupasua anga Nairobi to USA,alafu anajilinganisha na Kenya?
Nimefuatilia kwa umakini mijadala pamoja na namna threader alivyopresent mada na kama ni wale wanazi tunaowajua lakini nimeona hana kosa linalostahili hii hasira yako juu yake.
Nimeona ameripoti kama kilivyo kutoka kwenye source kwenye link hajaongeza wala hajapunguza jambo
Punguza stress ndugu jadili kwa mantiki