Deni La Taifa La Kenya Ni Mara Mbili Ya Deni La Tanzania Na Mara Tano Ya Deni La Uganda


Haya yote unasema hayana relevance na utajiri.

A car is a luxury in many developing countries, but the levels are not the same.
Mfano.
Kwa nchi moja 90% hawawezi afford.
Kwa nchi ingine 40% pekee ndio hawawezi afford.
 
Haya yote unasema hayana relevance na utajiri.

A car is a luxury in many developing countries, but the levels are not the same.
Mfano.
Kwa nchi moja 90% hawawezi afford.
Kwa nchi ingine 40% pekee ndio hawawezi afford.

Hivi mnapohesabu wingi wa magari hapo nairobi huwa mnahesabu na zile matatu ndogo eh???hiece
 
Je uchumi wa Tanzania ni sawa sawa na wa Kenya au na Uganda? Tuangalie mishahara wanayolipwa watumishi wa umma Kenya na Tanzania vinawiana? Hata magari ywliyopo barabarani Kenya na Tanzania ni tofauti sana
hawezi kujibu hii
 
hapo ni huyo wa m10
 
hawezi kujibu hii
Mishahara mikubwa ni liability kwa nchi kama wananchi wengi hawana kazi na uchumi hauna uwezo wa kubeba huo mzigo. Sasa hivi Kenya mnataka kubadilisha katiba ili kupunguza mzigo mkubwa wa kugharamia ukubwa wa serikali yenu. Kumbuka 53% ya GoK revenue itatumika kwa kulipa civil servants salaries ambao ni 2% ya population ya Kenya, that's why Kenya is very unequal society.
 
Yes, but majority of those cars belong to UN and UN officials, and others like South Sudanese relatives of elite families and Somalis refugees.

You're just a sore loser.
UN has less than 3000 employees in Nairobi. And I'm sure they don't import second hand cars from Japan but rather buy brand new from Toyota Kenya.
In Kenya we import over 100,000 cars a year.
 
You're just a sore loser.
UN has less than 3000 employees in Nairobi. And I'm sure they don't import second hand cars from Japan but rather buy brand new from Toyota Kenya.
In Kenya we import over 100,000 cars a year.
Ambao hawanunui second hand cars ni UN as organizations, lakini officials 90% wanaagiza second hand cars, ninao marafiki zangu wapo huko wakifanya kazi UN, wote wamenunu second hand cars.

Kenya mnawafanyakazi wengi sana wa UN na mashirika mbalimbali ya nje, ukijumlisha na wafanyakazi wa UN wanakaribia 800,000. Kati ya hizo gari imported kwa mwaka zaidi ya 50% belongs to them. By the way thibitisha kwamba kwa mwaka mnaimport 100,000 cars.
 
What quiz?
Data za all vehicle imports are given. Matatu ni vehicle ama sio vehicl?
Pia, ukitaka breakdown ya types of vehicles, unaweza pata.

Nauliza hivyo sisi huita vipanya,tuliondoa mjini in the late 2009 baada ya kuona ni vingi sana vinajaza mji kwa foreni zisizo na ulazima,now mtu mmoja badala ya kuwa na hiece nne,ananunua eicher or marcopolo tata moja.na inafanya kazi equvalnt na hizo matatu(vipanya kadhaa).

Sasa huu utaratibu wenu huwafanya kujihisi mna hela sana kwa kuwa na magari mengi,lakini ni ya kipuuzi.
 

The more you talk, the more I'm convinced you've never traveled outside your bedsitter in Dar is slum.
I have like 50 friends or acquaintances who drive cars, and none of them works for UN or for any other body for that matter.

Ati 800,000. It's like you pull figures from your a**.

Ni mashirika gani haya yameandika wakenya wengi hivi ata mimi nikatafute kazi huko?
 
Hahahahahaha, I have more than 100 friends who drive cars too. Tafadhali thibitisha kwamba you do import 100,000 cars per year, also tell us howmany these cars belong to UN and foreigners, because you have many foreigners next to South Africa. Kenya you have pseudo economy.
 

Mkubwa. USA wako na transport system better kuliko yenu.
Lakini 90% of households bado zina magari huko.

Reason ya nyinyi kukosa magari ni kukosa pesa ya kununua. period.
 

Hata hivyo amesahau gari zinazoingia bandari mombasa si zote zinatumika kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…