Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa na madeni ya mikopo ni jambo la kawaida sana kwa maendeleo ya mwananchi au taifa lo lote hapa duniani. Msikilize hapa seneta wa USA anavyoelezea ukubwa wa deni la mikopo ya taifa hilo kubwa ulimwenguni.
Ulitaka kusema “spam”Mwigulu sperms........
Hii Nchi ina watu wa ajabu sana....!
Nchi yenye uwepo wa watu wenye akili haiondoi uwepo wa watu wa ajabu kama wewe.....!We ndio wa ajabu usisakizie watu wengine. Watanzania ni watu wa Kawaida tena wenye akili zao.
We katafute hiyo nchi yenye watu wa ajabu km wewe Tanzania siyo size yako we mtu wa ajabu.Nchi yenye uwepo wa watu wenye akili haiondoi uwepo wa watu wa ajabu kama wewe.....!
Watu wanaohamisha Magoli kwa sababu ya Matumbo yao.
Kwani kujenga madarasa, barabara na vituo vya kutolea huduma za afya kwako siyo maendeleo tunayotaka? USA wao walishapita hatua hiyo; wao wanakopa kwa ajili ya kugharimia vita mbali mbali za hapa duniani na ujenzi wa viwanda vya kutengeneza silaha za maangamizi za kisasa.Sisi madeni makubwa na yanayokopewa ni Yale yale miaka yote ndio shida
Mkopo wa madarasa since awamu ya 4
Mkopo wa barabara since jk
Mkopo wa Afya since jk
Sasa hao US uwez kukuta miaka yote wanakopa Kwa ajili ya Miundombinu na elimu Tu
Kukopa sio ishu, ishu ni mkopo unafanyia nn?
Kwani kujenga madarasa, barabara na vituo vya kutolea huduma za afya kwako siyo maendeleo tunayotaka? USA wao walishapita hatua hiyo; wao wanakopa kwa ajili ya kugharimia vita mbali mbali za hapa duniani na ujenzi wa viwanda vya kutengeneza silaha za maangamizi za kisasa.
Sisi deni letu halijafika hata USD 0.3 trillion wajinga wanaanza kutoa mapovu. Wanahitaji kuelimishwa vizuri kuondoa ujinga kama huo.
Tatizo uwezo wa kufikiri huna na hujisumbui,hizo barabara na madarasa yaliyojengwa na kikwete ndiyo akamaliza mtandao wote wa barabara tz!?Sisi madeni makubwa na yanayokopewa ni Yale yale miaka yote ndio shida
Mkopo wa madarasa since awamu ya 4
Mkopo wa barabara since jk
Mkopo wa Afya since jk
Sasa hao US uwez kukuta miaka yote wanakopa Kwa ajili ya Miundombinu na elimu Tu
Kukopa sio ishu, ishu ni mkopo unafanyia nn?
Tatizo uwezo wa kufikiri huna na hujisumbui,hizo barabara na madarasa yaliyojengwa na kikwete ndiyo akamaliza mtandao wote wa barabara tz!?
We kweli poyoyo,tz Ina mtandao wa barabara mrefu,tuache kujenga barabara zinazotumiwa na wengi tujenge sijui vitu gani, barabara kwanza,sgr si inajengwa..au uko sayari gani!?..na Bomba la gesi si linatandazwa!!?..Sasa watoto wanazaliwa kila siku hutaki tujenge madarasa,lini madarasa yalitoshaWw ndio Huna ubongo wa kufikili vizuri
Na sijui kama unaelewa hoja yangu vizuri
Hoja yangu ni kwamba, why since utawala wa jk mikopo yote inaenda sehemu moja? Sehemu zilezile? Je hizo sehemu kwa miaka 30 yote tumeshindwa kufanya wenyewe?
Why tusikope kujenga reli ya Kasi, why tusikope kufanya uvuvi wa deep sea na viwanda vya samaki
Why tusikope kuweka kwe gas na Miundombinu mikubwa na project kubwa
Sisi ukisikia IMF wametoa Bilion 10 basi utasikia madarasa
Ukisikia USID wametoa Bilion kumi, basi matundu ya vyoo
Ukisikia UK wametoa ela, basi kipande cha barabara
Why why why why hivyo?
We kweli poyoyo,tz Ina mtandao wa barabara mrefu,tuache kujenga barabara zinazotumiwa na wengi tujenge sijui vitu gani, barabara kwanza,sgr si inajengwa..au uko sayari gani!?..na Bomba la gesi si linatandazwa!!?..Sasa watoto wanazaliwa kila siku hutaki tujenge madarasa,lini madarasa yalitosha
Mtandao wa barabara tz ni 86472km,lami haizidi 14000km...Barabara miaka 30? mikopo mingapi mikubwa ya barabara? Au tunataka kujenga Africa mzima?
Kama ni hivyo basi mpaka tunafika miaka ya Uhuru kama ya marekani still tutakuwa tunajenga barabara
Mtandao wa barabara tz ni 86472km,lami haizidi 14000km...
Nani kasema tunahitaji umeme wa nyuklia!?Miaka 30 sasa kama tunatumia 30yrs kwa barabara je umeme wa nyuklia si tutatumia miaka 100?
Nani kasema tunahitaji umeme wa nyuklia!?
Unafikiri nchi inafuata fasheni!?..likitokea ulaya nasi tufanye!?Akili zako ni za Zama za mawe za kwanza