Deni la Taifa la Marekani

Deni la Taifa la Marekani

Dr Akili

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
5,119
Reaction score
4,569
Kuwa na madeni ya mikopo ni jambo la kawaida sana kwa maendeleo ya mwananchi au taifa lo lote hapa duniani. Msikilize hapa seneta wa USA anavyoelezea ukubwa wa deni la mikopo ya taifa hilo kubwa ulimwenguni.

Sisi madeni makubwa na yanayokopewa ni Yale yale miaka yote ndio shida

Mkopo wa madarasa since awamu ya 4

Mkopo wa barabara since jk

Mkopo wa Afya since jk

Sasa hao US uwez kukuta miaka yote wanakopa Kwa ajili ya Miundombinu na elimu Tu

Kukopa sio ishu, ishu ni mkopo unafanyia nn?
 
We ndio wa ajabu usisakizie watu wengine. Watanzania ni watu wa Kawaida tena wenye akili zao.
Nchi yenye uwepo wa watu wenye akili haiondoi uwepo wa watu wa ajabu kama wewe.....!
Watu wanaohamisha Magoli kwa sababu ya Matumbo yao.
 
We kat

We katafute hiyo nchi yenye watu wa ajabu km wewe Tanzania siyo size yako we mtu wa ajabu.
 
Sisi madeni makubwa na yanayokopewa ni Yale yale miaka yote ndio shida

Mkopo wa madarasa since awamu ya 4

Mkopo wa barabara since jk

Mkopo wa Afya since jk

Sasa hao US uwez kukuta miaka yote wanakopa Kwa ajili ya Miundombinu na elimu Tu

Kukopa sio ishu, ishu ni mkopo unafanyia nn?
Kwani kujenga madarasa, barabara na vituo vya kutolea huduma za afya kwako siyo maendeleo tunayotaka? USA wao walishapita hatua hiyo; wao wanakopa kwa ajili ya kugharimia vita mbali mbali za hapa duniani na ujenzi wa viwanda vya kutengeneza silaha za maangamizi za kisasa.

Sisi deni letu halijafika hata USD 0.3 trillion wajinga wanaanza kutoa mapovu. Wanahitaji kuelimishwa vizuri kuondoa ujinga kama huo.
 
Kaka miaka 30 vitu vile vile?

Madarasa, Barabara, Madawa, matundu ya vyoo?

Why tusichukue mikopo na kufanya mambo makubwa zaidi na haya mambo ya road, classes, vyoo vijengwe Kwa pesa zetu za ndani?

Mbona V8 tunanunua Kwa pesa za ndani? Why not hayo mambo mengine?

Pale kigamboni vivuko viko hoi ni mpaka mkopo wa Korea uje ndio tununue kivuko till when haya maisha

Hoja sio kukopa hoja ni unakopa na kufanya Yale yale hapo kuna tatizo possible kuna udanganyifu
 
Sisi madeni makubwa na yanayokopewa ni Yale yale miaka yote ndio shida

Mkopo wa madarasa since awamu ya 4

Mkopo wa barabara since jk

Mkopo wa Afya since jk

Sasa hao US uwez kukuta miaka yote wanakopa Kwa ajili ya Miundombinu na elimu Tu

Kukopa sio ishu, ishu ni mkopo unafanyia nn?
Tatizo uwezo wa kufikiri huna na hujisumbui,hizo barabara na madarasa yaliyojengwa na kikwete ndiyo akamaliza mtandao wote wa barabara tz!?
 
Ww ndio Huna ubongo wa kufikili vizuri

Na sijui kama unaelewa hoja yangu vizuri

Hoja yangu ni kwamba, why since utawala wa jk mikopo yote inaenda sehemu moja? Sehemu zilezile? Je hizo sehemu kwa miaka 30 yote tumeshindwa kufanya wenyewe?

Why tusikope kujenga reli ya Kasi, why tusikope kufanya uvuvi wa deep sea na viwanda vya samaki

Why tusikope kuweka kwe gas na Miundombinu mikubwa na project kubwa

Sisi ukisikia IMF wametoa Bilion 10 basi utasikia madarasa

Ukisikia USID wametoa Bilion kumi, basi matundu ya vyoo

Ukisikia UK wametoa ela, basi kipande cha barabara

Why why why why hivyo?
 
We kweli poyoyo,tz Ina mtandao wa barabara mrefu,tuache kujenga barabara zinazotumiwa na wengi tujenge sijui vitu gani, barabara kwanza,sgr si inajengwa..au uko sayari gani!?..na Bomba la gesi si linatandazwa!!?..Sasa watoto wanazaliwa kila siku hutaki tujenge madarasa,lini madarasa yalitosha
 
Barabara miaka 30? mikopo mingapi mikubwa ya barabara? Au tunataka kujenga Africa mzima?

Kama ni hivyo basi mpaka tunafika miaka ya Uhuru kama ya marekani still tutakuwa tunajenga barabara
 
Mtandao wa barabara tz ni 86472km,lami haizidi 14000km...
 
Bado wana uwezo mkubwa kiuchumi wa kulilipa.
 
Back
Top Bottom