Deni la Taifa lafika TZS trilioni 91.03

Deni la Taifa lafika TZS trilioni 91.03

Wanakopa pesa kwa ajili ya safari za nje. Wala usizani kama kuna kipya.
Kuna miradi inabidi imaliziwe, afe kipa afe beki na kwa kasi ya awamu iliyopita katika kukopa huku miradi mingi ikiwa haijaisha. Naamini hata ingeendelea bado mkopo ungeshoot tu kuja juu...
 
Mpaka anaondoka 2025 tutakiwa tumepiga mia.
Mbona Waziri 100 chache mkuu inaweza gonga 300, Juzi tu ilikua 69T

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba leo amewasilisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023.

Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa shilingi trilioni 69.44 ikilinganishwa na shilingi trilioni 60.72 kipindi kama hicho mwaka 2021.

.
 
Hadi mbuzi tunashangaa!
1670673502061.jpg
 
Unasema 2025?...hiyo Mia ni hapo tu early next year.
Hela hii inaenda wapi yarabi?

Hilo swali huwa najiuliza pesa zinaenda wapi?. Mbona Trilioni ishirini pesa nyingi Sana. Wangeanzisha Basi hata benki ya vijana wakakope mitaji kwa riba nafuu.
 
Nimeona hii habari huko tweeter. Mimeshika kichwa.. ndani ya mda mfupi sana awamu ya sita imekopa hadi imevunja record. Mama anaupiga mwingi.
we ni jinsia gani, mbona mmbea hivyo? Acha kujihangaisha na mambo yako juu sana ya uwezo wako. Waza namna utapata mlo wako wako we nyau
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann hii picha lkn
 
Kila mbuzi anakula urefu wa kamba qmamae. Jambo moja liko wazi ni kwamba bibi ni bora liende, uwezo 0, kazi yake ni "hili nao mkalitizaweni" na wateule wake wamepata mwanya ni mwendo wa kulamba asali tu, hapo unatarajia nini.
 
Mbona Waziri 100 chache mkuu inaweza gonga 300, Juzi tu ilikua 69T

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba leo amewasilisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023.

Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa shilingi trilioni 69.44 ikilinganishwa na shilingi trilioni 60.72 kipindi kama hicho mwaka 2021.

.
Mwigulu muongo muongo sana.
 
Back
Top Bottom