Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Mkoroni arudi tuu hakuna jinsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAZI IENDELEE....... RAIS SAMIA SULUHU...........................Nimeona hii habari huko tweeter. Mimeshika kichwa.. ndani ya mda mfupi sana awamu ya sita imekopa hadi imevunja record. Mama anaupiga mwingi.
View attachment 2441817
Kutokana na deni la Taifa kuwa Shilingi Trilioni 91.03. Kila M-Tanzania anadaiwa Shilingi Billioni 1 na Millioni 500 Haya Wa-Tanzania tuchange kila mmoja wetu ili tupate kulipa Deni la Taifa. Mwenye kuwa na Ng'ombe,Mbuzi,nyumba mashamba na Vitu vingine auze ili tupate kulipa deni la Taifa letu Serikali ya CCM imeshindwa kulipa hayo madeni kila mwezi Madeni yanazidi kuongezeka kazi kweli ipo. Serikali ya CCM inakopa kila kukicha na pesa hazijulikani zinakwenda wapi? Lohh Majangaa makubwa nchi yetu itauzwa mpaka na Wananchi wake watauzwa kwa wingi wa madeni tunayo kopa kila kukicha.Hadi Oktoba 2022 Deni la Taifa liliongezeka kufikia dola za Marekani milioni 39,006.1 (TZS trilioni 91.03) kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Kati ya kiwango hicho, TZS trilioni 64 ni deni la nje, huku deni la ndani likiwa ni TZS trilioni 26.6.
Swahili Times
Kutokana na deni la Taifa kuwa Shilingi Trilioni 91.03. Kila M-Tanzania anadaiwa Shilingi Milioni 1 na laki 5 Haya Wa-Tanzania tuchange kila mmoja wetu ili tupate kulipa Deni la Taifa. Mwenye kuwa na Ng'ombe,Mbuzi,nyumba mashamba na Vitu vingine auze ili tupate kulipa deni la Taifa letu Serikali ya CCM imeshindwa kulipa hayo madeni kila mwezi Madeni yanazidi kuongezeka kazi kweli ipo. Serikali ya CCM inakopa kila kukicha na pesa hazijulikani zinakwenda wapi? Lohh Majangaa makubwa nchi yetu itauzwa mpaka na Wananchi wake watauzwa kwa wingi wa madeni tunayo kopa kila kukicha.Nimeona hii habari huko tweeter. Mimeshika kichwa.. ndani ya mda mfupi sana awamu ya sita imekopa hadi imevunja record. Mama anaupiga mwingi.
View attachment 2441817
Serikali imekopa kwenye taasisi za ndani ya nchi yaani mabenki, mifuko ya hifadhi n.knifahamishe... Deni la ndani linatokana na nini?????? au ni ndani ya Africa au Ndani ya Tanzania???? na kama ni ndani ya Tanzania How? Jamani mimi poyoyo wa elimu ya uchumi nielimishwe
Tuuzwe mara ngapi, tushauzwa tayari, kama unaelewa familia au mtu aliyefilisika anishije utajua tupo katika hali ganiBora tuuzwe tu kuliko kutawaliwa na hawa weusi
Sio kila mtanzania ana umiliki wa mali inayofika 1.5 m.. suluhisho ni kuyafatilia hayo madeni wote waliojinufaisha nayo basi walipe au mali zao zitaifishwe madeni yalipweKutokana na deni la Taifa kuwa Shilingi Trilioni 91.03. Kila M-Tanzania anadaiwa Shilingi Milioni 1 na laki 5 Haya Wa-Tanzania tuchange kila mmoja wetu ili tupate kulipa Deni la Taifa. Mwenye kuwa na Ng'ombe,Mbuzi,nyumba mashamba na Vitu vingine auze ili tupate kulipa deni la Taifa letu Serikali ya CCM imeshindwa kulipa hayo madeni kila mwezi Madeni yanazidi kuongezeka kazi kweli ipo. Serikali ya CCM inakopa kila kukicha na pesa hazijulikani zinakwenda wapi? Lohh Majangaa makubwa nchi yetu itauzwa mpaka na Wananchi wake watauzwa kwa wingi wa madeni tunayo kopa kila kukicha.
Inahuzunisha sana mbaya zaidi hakuna ambacho tunaweza kufanya zaidi ya kulialia tu mitandaoniSioni future ya Tanzania.
Ni nchi inaenda aimlessly mradi ipo kwenye ramani.
Ishu sio kumshauri vizuri ishu ni kwamba hao waliomzunguka they are not intelligent enough wamepewa nafasi kwa connection, uchawa na unafiki tu. Watu kama nape, january, ridhiwani they are nothing kichwani wapo pale kutokana na majina tu ya baba zao chamani angalia mtu kama mwigulu ni bashite fulani tu cha kushangaza ndo anashikilia nafasi nyeti zaidi. Mfumo wetu wa kupata viongozi ni dhaifu sanaHii nchi Samia kaja kuiua kabisa na tatizo waliomzunguka badala ya kumshauri vizuri ndo kabisa wamekiwa machawa.
Tutaishia kulialia tu mitandaoni ila likija suala la kuingia field kukinukisha tunamsubiri mbowe na lissuje tufanyeje?[emoji848][emoji848]
mmaza mwenyewe anazarau kinoma!Hadi Oktoba 2022 Deni la Taifa liliongezeka kufikia dola za Marekani milioni 39,006.1 (TZS trilioni 91.03) kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Kati ya kiwango hicho, TZS trilioni 64 ni deni la nje, huku deni la ndani likiwa ni TZS trilioni 26.6.
Swahili Times
[emoji23][emoji23]Tutaishia kulialia tu mitandaoni ila likija suala la kuingia field kukinukisha tunamsubiri mbowe na lissu