Deni la Taifa lafika TZS trilioni 91.03

Deni la Taifa lafika TZS trilioni 91.03

Hadi Oktoba 2022 Deni la Taifa liliongezeka kufikia dola za Marekani milioni 39,006.1 (TZS trilioni 91.03) kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Kati ya kiwango hicho, TZS trilioni 64 ni deni la nje, huku deni la ndani likiwa ni TZS trilioni 26.6.

Swahili Times
Kutokana na deni la Taifa kuwa Shilingi Trilioni 91.03. Kila M-Tanzania anadaiwa Shilingi Billioni 1 na Millioni 500 Haya Wa-Tanzania tuchange kila mmoja wetu ili tupate kulipa Deni la Taifa. Mwenye kuwa na Ng'ombe,Mbuzi,nyumba mashamba na Vitu vingine auze ili tupate kulipa deni la Taifa letu Serikali ya CCM imeshindwa kulipa hayo madeni kila mwezi Madeni yanazidi kuongezeka kazi kweli ipo. Serikali ya CCM inakopa kila kukicha na pesa hazijulikani zinakwenda wapi? Lohh Majangaa makubwa nchi yetu itauzwa mpaka na Wananchi wake watauzwa kwa wingi wa madeni tunayo kopa kila kukicha.
 
Nimeona hii habari huko tweeter. Mimeshika kichwa.. ndani ya mda mfupi sana awamu ya sita imekopa hadi imevunja record. Mama anaupiga mwingi.

View attachment 2441817
Kutokana na deni la Taifa kuwa Shilingi Trilioni 91.03. Kila M-Tanzania anadaiwa Shilingi Milioni 1 na laki 5 Haya Wa-Tanzania tuchange kila mmoja wetu ili tupate kulipa Deni la Taifa. Mwenye kuwa na Ng'ombe,Mbuzi,nyumba mashamba na Vitu vingine auze ili tupate kulipa deni la Taifa letu Serikali ya CCM imeshindwa kulipa hayo madeni kila mwezi Madeni yanazidi kuongezeka kazi kweli ipo. Serikali ya CCM inakopa kila kukicha na pesa hazijulikani zinakwenda wapi? Lohh Majangaa makubwa nchi yetu itauzwa mpaka na Wananchi wake watauzwa kwa wingi wa madeni tunayo kopa kila kukicha.
 
nifahamishe... Deni la ndani linatokana na nini?????? au ni ndani ya Africa au Ndani ya Tanzania???? na kama ni ndani ya Tanzania How? Jamani mimi poyoyo wa elimu ya uchumi nielimishwe
Serikali imekopa kwenye taasisi za ndani ya nchi yaani mabenki, mifuko ya hifadhi n.k
 
Kutokana na deni la Taifa kuwa Shilingi Trilioni 91.03. Kila M-Tanzania anadaiwa Shilingi Milioni 1 na laki 5 Haya Wa-Tanzania tuchange kila mmoja wetu ili tupate kulipa Deni la Taifa. Mwenye kuwa na Ng'ombe,Mbuzi,nyumba mashamba na Vitu vingine auze ili tupate kulipa deni la Taifa letu Serikali ya CCM imeshindwa kulipa hayo madeni kila mwezi Madeni yanazidi kuongezeka kazi kweli ipo. Serikali ya CCM inakopa kila kukicha na pesa hazijulikani zinakwenda wapi? Lohh Majangaa makubwa nchi yetu itauzwa mpaka na Wananchi wake watauzwa kwa wingi wa madeni tunayo kopa kila kukicha.
Sio kila mtanzania ana umiliki wa mali inayofika 1.5 m.. suluhisho ni kuyafatilia hayo madeni wote waliojinufaisha nayo basi walipe au mali zao zitaifishwe madeni yalipwe
 
Kwa hesabu za haraka haraka, assume interest ya deni ni wastani wa 10%, kwa hiyo interest kwa mwaka tunalipa trillion 10, inaonekana TRA inakusanya kulipa interest za madeni tuu na wala sio deni, hakuna kutoboa tumekwisha kila mtu akalime viazi tuu
 
Hii nchi Samia kaja kuiua kabisa na tatizo waliomzunguka badala ya kumshauri vizuri ndo kabisa wamekiwa machawa.
Ishu sio kumshauri vizuri ishu ni kwamba hao waliomzunguka they are not intelligent enough wamepewa nafasi kwa connection, uchawa na unafiki tu. Watu kama nape, january, ridhiwani they are nothing kichwani wapo pale kutokana na majina tu ya baba zao chamani angalia mtu kama mwigulu ni bashite fulani tu cha kushangaza ndo anashikilia nafasi nyeti zaidi. Mfumo wetu wa kupata viongozi ni dhaifu sana
 
Hadi Oktoba 2022 Deni la Taifa liliongezeka kufikia dola za Marekani milioni 39,006.1 (TZS trilioni 91.03) kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Kati ya kiwango hicho, TZS trilioni 64 ni deni la nje, huku deni la ndani likiwa ni TZS trilioni 26.6.

Swahili Times
mmaza mwenyewe anazarau kinoma!
 
Tutaishia kulialia tu mitandaoni ila likija suala la kuingia field kukinukisha tunamsubiri mbowe na lissu
[emoji23][emoji23]

nduai alisema kwamba tukisikia mama kakopa tunafanya hivi;-
[emoji122][emoji122][emoji122]

umesema kweli.
 
Nchi inaongozwa na daktari mwenye akili kubwa, hakika chifu hangaya ana upiga mwingi
 
Back
Top Bottom