Kuna miradi inabidi imaliziwe, afe kipa afe beki na kwa kasi ya awamu iliyopita katika kukopa huku miradi mingi ikiwa haijaisha. Naamini hata ingeendelea bado mkopo ungeshoot tu kuja juu...
Mbona Waziri 100 chache mkuu inaweza gonga 300, Juzi tu ilikua 69TMpaka anaondoka 2025 tutakiwa tumepiga mia.
Yawezekana 😁😁😁Wanakopa pesa kwa ajili ya safari za nje. Wala usizani kama kuna kipya.
Still bado ni pesa ndogo sana hii kulinganisha na raslimali zilizopo kwenye wilaya moja tu nchini.Wema hawafi. Wastan kila mbuzi anadaiwa 1.5 M.
Nabado hadi 2025 inatarajiwa kufikia 150 Trillion.
Mnataka sgr,bwawa nyerere,ajira,kupanda madaraja,mishahara,huduma za afya, miundombinu nk halafu hamtaki kukopa,hela zitatoka wapi!?Wema hawafi. Wastan kila mbuzi anadaiwa 1.5 M.
Nabado hadi 2025 inatarajiwa kufikia 150 Trillion.
Hadi 2025 itakuwa ishavuka 100trilWatakuambia nchi bado inakopesheka hatuko kwenye red line, juzi kapewa heshima ya uchumi, hadi tunakuja kushtuka watakuwa wamashatuuza hadi sisi wenyewe achilia mbali madini na madeni.
Unasema 2025?...hiyo Mia ni hapo tu early next year.
Hela hii inaenda wapi yarabi?
we ni jinsia gani, mbona mmbea hivyo? Acha kujihangaisha na mambo yako juu sana ya uwezo wako. Waza namna utapata mlo wako wako we nyauNimeona hii habari huko tweeter. Mimeshika kichwa.. ndani ya mda mfupi sana awamu ya sita imekopa hadi imevunja record. Mama anaupiga mwingi.
Mwigulu muongo muongo sana.Mbona Waziri 100 chache mkuu inaweza gonga 300, Juzi tu ilikua 69T
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba leo amewasilisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023.
Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa shilingi trilioni 69.44 ikilinganishwa na shilingi trilioni 60.72 kipindi kama hicho mwaka 2021.
.