Haya ndiyo mambo anayoongea Mitch McConnell kila siku dhidi ya Joe Biden.
Tazama headlines za siku hizi:"Samia Suluhu katoa sh. nusu bilioni kuweka viyoyozi kwenye madarasa ya shule." We can't afford this. Hizi headlines utaona zinakuja moja baada ya nyingine.
Hii ndiyo speech pattern ya Mitch McCornell,ambaye ndiye Minority Leader katika Senate kwamba,"Huyu Joe Biden kwa nini anazidisha ukarimu? Kwa nini analeta Santa Claus behavior,kila wakati anataka atoe zawadi?'
Ukisema Spika analeta kimbunga Jobo kumuondoa rais,hayo ni maneno yako wewe. Spika anafa ya tu kazi yake halali.
Na rais hawezi kuondoka kwa remarks za mtu yoyote,no matter how clever the remarks. Kumuodoa rais you would have to do something different.