Deni la Zanzibar ladhaminiwa kwa 73% na Tanzania

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
Mwenendo wa deni la Zanzibar

2017/18 - Bilioni 472.5

2018/19 - Bilioni 806.8

2019/20- Bilioni 824.5

2020/21 - Bilioni 887

2021/22 - Trilioni 1.2 https://t.co/YuSI0usKt4

Hawa watu sisi ndio twawadhamini ila wanatuletea kiburi na jeuri. Na hapo bado sisi twawapa zaidi ya Asilimia 4 kwenye kila mkopo.

Makusanyo ya Zanzibar ni Bilioni 285 kwa Mwaka

 
Mwinyi na Samia wanaongoza kwa kukopa.

Serikali ya Zanzibar miaka iliyopita ilikuwa ikikopa Bilioni chini ya 30 kwa Mwaka, Mwinyi kakopa Bilioni 300 kwa miaka 2
 
huo ndio maana ya muungabo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…