Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Ndani na nje. Ratio ya deni to GDP ni 125% US anaimport kuliko anavyoexport.1. Hilo deni ni mikopo ya ndani au mikopo ya nje?
2. Uchumi wa Nchi na wa mtu mmoja mmoja ukoje? GDP
3. Je hizo nchi zenye mikopo mikubwa Export na Import zao zikoje? Wanategemea import zaidi ya Export?
Maoni yangu
1. Vision pana ndio inaleta maendeleo ya kweli
2. Rule of Law
3. Educated society
🤣🤣Wewe ungekuwa na uwezo wa kukopa kama Dewji au Bakhressa sana sana ungeishia kuzini na wanawake wote wa Tanzania na matokeo yake ungeshakufa kwa ukimwi siku nyingi sana.
Usimchukulie poa mkuu anaweza kukopeshwa hela nyingi na akatulia tu..Wewe ungekuwa na uwezo wa kukopa kama Dewji au Bakhressa sana sana ungeishia kuzini na wanawake wote wa Tanzania na matokeo yake ungeshakufa kwa ukimwi siku nyingi sana.
Jikite kwenye mada badala ya hizi Personal attack,kama huna akili ya kujadili vitu vikubwa pita pembeni kuliko kuleta umama hapa,Wewe ungekuwa na uwezo wa kukopa kama Dewji au Bakhressa sana sana ungeishia kuzini na wanawake wote wa Tanzania na matokeo yake ungeshakufa kwa ukimwi siku nyingi sana.
kwani afrika wamekatazwa kuchapisha pesa? si na wao wachapishe? unalinganisha nchi zenye high tech kama us, uk na shithole countries za afrika?Hizi ni pesa nyingi sana. Nyingi mno. US ina watu kama milioni 350 na inadaiwa dola Trilioni 40. Afrika nzima ya watu 1.4 bilioni inadaiwa kama trilioni 1.5 tu. Nchi inaweza kukopa hela zote hizo na isiendelee kweli? Hayo mahela yanajenga vitu vingi mno. Barabara, bandari, hospitali, shule na vyuo, reli nk.
Huwa tunadhani Afrika tumeachwa nyuma sababu tunauwezo mdogo kumbe ni sababu wenzetu wana mikopo mikubwa(Ambayo kimsingi ni wanachapisha pesa tu)
Afrika pamoja na ufisadi na ujinga wetu lakini tungekuwa na USD trilioni 40 kwa miaka 50 iliyopita leo hii tungekuwa mbali sana. Trilioni arobaini inajenga barabara, reli na mitambo ya kufua umeme kutoshea bara zima.
Nchi kama UK ina deni la USD trilioni 4. Zaidi ya mara mbili ya Afrika nzima. Ufaransa deni lao ni 4 trilioni na ushee. Japan wanadaiwa 9 trilion.
Leo hii Tanzania tunadaiwa kama dola bilioni 50. Deni la Uingereza ni kubwa mara 80 yetu! Pamoja na ujinga na ufisadi wetu, tungekuwa na access ya kukopa kufikia dola trilioni 4 hakika tungekuwa mbali sana.
Mytake: Madeni(uwezo wa kuchapa pesa kwa kiwango kikubwa) ndiyo hasa kilichofanya nchi za magharibi zituache maendeleo kwa gap kubwa sana. Si ufisadi wala ujinga wetu. Game iko rigged. Ni namna gani tunajinasua?
waafrika wanapewa mpaka misaada ya kuwatahiri, na kujengewa vyoo wakati wenzao wanaplan kwenda kuishi mwezini na sayar zingine halaf eti mswahili anasema hao wengine wameendelea sabab ya mikopo ingekuwa na yeye kapewa angekuwa na maendekeo kama us na europe.Wewe ungekuwa na uwezo wa kukopa kama Dewji au Bakhressa sana sana ungeishia kuzini na wanawake wote wa Tanzania na matokeo yake ungeshakufa kwa ukimwi siku nyingi sana.
Kwa nini Waafrika hawachapi pesa? US akichapa pesa yake, dola anaweza kuitumia popote duniani. Kununua vitu China, Uarabuni kununua mafuta, kahawa na korosho na madini huku kwetu nk nk. Hata nchi zinazotumia Euro, Pound na Wajapan wanaweza kufanya hivyo. Tanzania au nchi yoyote ya Afrika ikichapisha pesa yake haiwezi kuichukua na kwenda kununua vitu China, mafuta Uarabuni, madawa India, vyuma vya kujengea reli nk nk.kwani afrika wamekatazwa kuchapisha pesa? si na wao wachapishe? unalinganisha nchi zenye high tech kama us, uk na shithole countries za afrika?
Tanzania ilipewa mkopo na china wa reli ya tazara leo hii tazara ipo dhoofu lihali pamoja na kuwa wamesaidiwa mnooo na mchina mpaka ilifikia kipindi wanasaidiwa mafuta ya kuendeshea train na bado wameshindwa.
US, europe, china, india, japan wameendilia sabab ya matumizi makubwa ya akili kwanza.
Ukimpa leo mchina, mzungu, muhindi usd 1 milion na mswahili same amount utamkuta mchina, mzungu, muhindi wamezalisha mara dufu, kwa mswahili utakuta katumia kwenye umalaya, ufujaji, kwa waganga, na uchafu mwingine na bado atadai apewe zingine.
Kwa ujinga wenu hata mngekua na hizo pesa hamna cha maana mngefanya.Hizi ni pesa nyingi sana. Nyingi mno. US ina watu kama milioni 350 na inadaiwa dola Trilioni 40. Afrika nzima ya watu 1.4 bilioni inadaiwa kama trilioni 1.5 tu. Nchi inaweza kukopa hela zote hizo na isiendelee kweli? Hayo mahela yanajenga vitu vingi mno. Barabara, bandari, hospitali, shule na vyuo, reli nk.
Huwa tunadhani Afrika tumeachwa nyuma sababu tunauwezo mdogo kumbe ni sababu wenzetu wana mikopo mikubwa(Ambayo kimsingi ni wanachapisha pesa tu)
Afrika pamoja na ufisadi na ujinga wetu lakini tungekuwa na USD trilioni 40 kwa miaka 50 iliyopita leo hii tungekuwa mbali sana. Trilioni arobaini inajenga barabara, reli na mitambo ya kufua umeme kutoshea bara zima.
Nchi kama UK ina deni la USD trilioni 4. Zaidi ya mara mbili ya Afrika nzima. Ufaransa deni lao ni 4 trilioni na ushee. Japan wanadaiwa 9 trilion.
Leo hii Tanzania tunadaiwa kama dola bilioni 50. Deni la Uingereza ni kubwa mara 80 yetu! Pamoja na ujinga na ufisadi wetu, tungekuwa na access ya kukopa kufikia dola trilioni 4 hakika tungekuwa mbali sana.
Mytake: Madeni(uwezo wa kuchapa pesa kwa kiwango kikubwa) ndiyo hasa kilichofanya nchi za magharibi zituache maendeleo kwa gap kubwa sana. Si ufisadi wala ujinga wetu. Game iko rigged. Ni namna gani tunajinasua?
Uwezo wa kulipa ni kwetu huku. US wala hawazi kuja kulilipa hilo deni. US mwenyewe amekiri wazi na wataalamu wote wanajua fika kuwa hana uwezo wa kulipa hizo dola Trilioni 40 na haji kuzilipa kamwe. Ndiyo maana nasema mchezo uko rigged.Kwa ujinga wenu hata mngekua na hizo pesa hamna cha maana mngefanya.
Kama kwa hizi ndogo tu mlizonazo mnawaya waya tu na kujikita kuziiba hizo nyingi ndio zingewapa akili?..
Halafu kuwa na Deni ni kitu kimoja na kuwa na uwezo wa kulipa ni jambo jingine.
zitto junior
Na kiuno chenyewe anachokata ni kigumu kuliko hata ugumu wa maisha yake yaaaniJikite kwenye mada badala ya hizi Personal attack,kama huna akili ya kujadili vitu vikubwa pita pembeni kuliko kuleta umama hapa,
Wewe Mmarekani mweusi wa Nzega ukiona tu Marekeni inasemwa lazima uje na kukata viuno hapa.