Denis Nkane, Supastaa mpya wa mpira Tanzania

Huyu dogo hawezi kupewa heshima na shabiki wa upande wa pili unless angesajiliwa timu kama Azam ambayo wengi wetu tuko neutral.
 
Mbona husemi wafuatao Mwamnyeto,Kibwana shomari,Dickson Job,Yasin Mustapha wamepewa nafasi na wanakiwasha kwelikweli
Huyu Mwamnyeto anaweza akawa ndiye mlizi bora wa kati kwa hapa nchini kwasasa
 
huyo dogo media zimemkuza sana ila ni wa kawaida mnoo na siioni nafasi yake hapo utopoloni, mara kumi ungeniambia Tepsi Evans.
 
huyo dogo media zimemkuza sana ila ni wa kawaida mnoo na siioni nafasi yake hapo utopoloni, mara kumi ungeniambia Tepsi Evans.
Mawazo ya namna hii ndio yanakuletea kipara kabla ya muda.
 
Kweli utopolo hamjui mpira..sasa Nkane anajua mpira upi. Hana goli wala assist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…