Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Siku hizi mnaleta utani kwenye football.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekifanya nini? Ikiwa hata uwezo wa TEPSIE EVANCE hajaufikia....Huyu dogo hawezi kupewa heshima na shabiki wa upande wa pili unless angesajiliwa timu kama Azam ambayo wengi wetu tuko neutral.
Yule kaheza yuko wapi?Yule waziri junior yukwapi!
Kwani kwenye ligi hakuwahi cheza?Mkuu mechi moja tena mapinduzi na timu ni jangombe tayari ushamuona ni star?
Mbona husemi wafuatao Mwamnyeto,Kibwana shomari,Dickson Job,Yasin Mustapha wamepewa nafasi na wanakiwasha kwelikweliYule waziri junior yukwapi!
Huyu Mwamnyeto anaweza akawa ndiye mlizi bora wa kati kwa hapa nchini kwasasaMbona husemi wafuatao Mwamnyeto,Kibwana shomari,Dickson Job,Yasin Mustapha wamepewa nafasi na wanakiwasha kwelikweli
AiseeeeeeMechi ya ugenini ya biashara kwenye kombe la shirikisho goli alifunga babako?
Yupo kivule kwa maalim anajaribu kumtandika misumari anaekomaa na namba yake.Kaishia wap?
Mawazo ya namna hii ndio yanakuletea kipara kabla ya muda.huyo dogo media zimemkuza sana ila ni wa kawaida mnoo na siioni nafasi yake hapo utopoloni, mara kumi ungeniambia Tepsi Evans.
Yupo kivule kwa maalim anajaribu kumtandika misumari anaekomaa na namba yake.
Kweli utopolo hamjui mpira..sasa Nkane anajua mpira upi. Hana goli wala assistKabla ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia na kuniepusha dhidi ya usimba na uyanga. Mimi ni mpenzi michezo nafuatilia michezo mingi kwahiyo moja ya furaha yangu ni michezo.
Jana nilipata wasaa wa kutizama mchezo baina ya Taifa Jang'ombe dhidi ya Yanga mchezo ulikuwa mzuri sana ila kuna kijana anaitwa Nkane amenivutia sana. Huyo bwana mdogo ana sifa lukuki, nimependa uchezaji wake. Dogo ana nyumbulika ni hatari sana. Ila kuna baadhi ya mambo inabidi aweke sana naimani mwalimu ameyaona, ni jukumu lake kuyafanyia kazi pindi atakapo elekezwa.
Dogo akiendelea hiv hiv na akipunguza uswahili wetu naimani atafika mbali sana. Asante sana Yanga kwa kumpa nafasi.