Denis Urio, msiri wa Kingai, kwanini hajaletwa kizimbani wakati yeye ndiye source ya kesi ya Ugaidi?

Denis Urio si bado askari? Askari si hushitakiwa kwenye mahakama za kijeshi?
 
Urio ni ndugu yako Mbowe wakati mbowe anatishiwa maisha na DC wa hai ndipo mbowe akamuomba msaidie kupata Komando wasitaafu au hata walioacha kazi wenyewe ili awatumie kumlinda yeye binafsi, baada ya DC kupata taarifa akajua njama zake za kumhujumu mbowe zitakwama ndipo akabuni mbinu za kuwabambikia kesi za ugaidi ili amkomoe mbowe na pia apate sifa toka kwa marehemu magufuli, huo ndiyo ukweli, mbowe siyo gaidi na walinzi wake siyo magaidi bali ugaidi ulitengenezwa makusudi kwa Lengo la kumdhoofisha kisiasa
 
Huyo urio anaonekana ana Mambo ya kike sana
Urio alitajwa na wale walinzi wa mbowe baada ya kuhojiwa jinsi walivyounganishwa kwa mbowe, Ukweli ni kwamba Urio aliwasaidia kuwapa kazi kwa mbowe kwa nia njema kabsa, lakini Sabaya DC wa Hai akageuza kuwa kesi ya ugaidi ikiwa ni tukio la kutengeneza kwa Lengo la kumdhoofisha mbowe kisiasa
 
Jana nilimsikia Judge akisema kuwa mshatakiwa mmoja wakati akihojiwa na Kibatala kuwa anapewa majawabu!
Nilistuka sana na nikajua hata ma jaji wanaqosikiliza kesi hii 'wameandaliwa' kwa ajili ya mchezo mchafu.
 
Hamna ugaidi hapo mzee baba
Uhalisia hakukuwa na Ugaidi wowote bali watengeneza kesi ya ugaidi walifanya makosa kuwaonea watu kuwapiga kuwatesa kuwaua wamefanya unyanyasaji unyama wa kutisha, wapo mahakamani kutafuna Mbinu za kukwepa lawama za uonevu wao.
 
Jana nilimsikia Judge akisema kuwa mshatakiwa mmoja wakati akihojiwa na Kibatala kuwa anapewa majawabu!
Nilistuka sana na nikajua hata ma jaji wanaqosikiliza kesi hii 'wameandaliwa' kwa ajili ya mchezo mchafu.
Jaji anajidhalilisha sana na hii kesi anaidhalilisha mahakama
 
Kunywa kwanza maji kamanda ushushe hasira. Then tuendelee kusikiliza kesi.
 
Acha uongo lijenje yupo mtaani na mahakama imeshaambiwa

USSR
'Kwa taarifa za uhakika Denis urio yupo Sudan eneo la Darfur kama peacekeeper'
USSR
Hili nalo lilitokea kwako
 
Huyu na Urio walipotezwa na akina mahita kwa uonevu mkubwa kupata kutokea Nchi hii ipate Uhuru wake
Sasa kama waliuliwa Na polisi mbona sielew? Askari luteni wa jeshi tena komandoo akiwa bado analitumikia jeshi la wananchi ( Jwtz) inakuwaje anauliwa na jeshi limekaa kimya?
 
Jana nilimsikia Judge akisema kuwa mshatakiwa mmoja wakati akihojiwa na Kibatala kuwa anapewa majawabu!
Nilistuka sana na nikajua hata ma jaji wanaqosikiliza kesi hii 'wameandaliwa' kwa ajili ya mchezo mchafu.
Taratibu shetani anajifunua. Amen
 
Kwenye kesi Hakuna neno msiri iamrishwe msiri aletwe kutoa ushahidi.
 
Kingai atajuta kuanzisha kesi za kishamba kama hizi hata kama kapewa ahadi na ccm ya kuwa igp ajae,hii kesi ni ya kubumba KILA Mtza anajua hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…