Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Denis Urio si bado askari? Askari si hushitakiwa kwenye mahakama za kijeshi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urio ni ndugu yako Mbowe wakati mbowe anatishiwa maisha na DC wa hai ndipo mbowe akamuomba msaidie kupata Komando wasitaafu au hata walioacha kazi wenyewe ili awatumie kumlinda yeye binafsi, baada ya DC kupata taarifa akajua njama zake za kumhujumu mbowe zitakwama ndipo akabuni mbinu za kuwabambikia kesi za ugaidi ili amkomoe mbowe na pia apate sifa toka kwa marehemu magufuli, huo ndiyo ukweli, mbowe siyo gaidi na walinzi wake siyo magaidi bali ugaidi ulitengenezwa makusudi kwa Lengo la kumdhoofisha kisiasaWakuu, story ya kesi ya Ugaidi, kama jinsi ilivyoelekezwa na Bwana Kingai, chanzo chake ni msiri wa Kingai ambaye ni Denis Urio!
Hii case ya ugaidi, kwa 100% inamuhusu sana huyu Denis Urio, ambapo Bwana Kingai alisema alipata taarifa hizo kutoka kwake!
Cha kushangaza, mpaka sasa mashahidi wa Jamuhuri wanatumia neno "Msiri" huku wakijisahaulisha kuwa mwanzoni mwa case hii Bwana Kingai alieleza information zote zilitoka kwa Denis Urio.
Pamoja na hayo, ulimwengu unastaajabu kuwa source wa hayo mambo (Denis Urio), anatajwa juu juu tu Mahakamani huku hakuna dalili ya kuitwa kwake kuja kutoa confirmation kuwa info alizitoa yeye, na yeye aliambiwa na watu gani?
Upande wa jamhuri wamepozi as if sio muhusika kabisaa kwenye kesi hii, na kubadili lugha eti msiri wa Kingai!
Nashauri wakili wa utetezi kuiomba mahakama ilazimishe kuletwa kwa huyu Denis Urio ili tujue mbivu na mbichi!
inasemekana hujulikana alipo pengine alishakwenda kama yule mwingineDenis Urio si bado askari? Askari si hushitakiwa kwenye mahakama za kijeshi?
Huyu na Urio walipotezwa na akina mahita kwa uonevu mkubwa kupata kutokea Nchi hii ipate Uhuru wakeVipi mpambe kindaki ndaki wa mwendazake kwani mnaaminika?
View attachment 2023690
Chanjo nayo je ulishapata?
View attachment 2023583
Cc: Matola
Urio alitajwa na wale walinzi wa mbowe baada ya kuhojiwa jinsi walivyounganishwa kwa mbowe, Ukweli ni kwamba Urio aliwasaidia kuwapa kazi kwa mbowe kwa nia njema kabsa, lakini Sabaya DC wa Hai akageuza kuwa kesi ya ugaidi ikiwa ni tukio la kutengeneza kwa Lengo la kumdhoofisha mbowe kisiasaHuyo urio anaonekana ana Mambo ya kike sana
Hapo ndio hata mimi nilijiuliza, ngoja tuone mwenendo wa leo itakuwajeSasa kipigo cha informer kule kwenye gari sababu yake nini
Uhalisia hakukuwa na Ugaidi wowote bali watengeneza kesi ya ugaidi walifanya makosa kuwaonea watu kuwapiga kuwatesa kuwaua wamefanya unyanyasaji unyama wa kutisha, wapo mahakamani kutafuna Mbinu za kukwepa lawama za uonevu wao.Hamna ugaidi hapo mzee baba
Jaji anajidhalilisha sana na hii kesi anaidhalilisha mahakamaJana nilimsikia Judge akisema kuwa mshatakiwa mmoja wakati akihojiwa na Kibatala kuwa anapewa majawabu!
Nilistuka sana na nikajua hata ma jaji wanaqosikiliza kesi hii 'wameandaliwa' kwa ajili ya mchezo mchafu.
Kingai na mahita walifanya unyama unyanyasaji mkubwa kwa nia ya kumfurahisha DC Sabaya sasa wanahaha kwa bidii kesi isije kuwageukiaHapo ndio hata mimi nilijiuliza, ngoja tuone mwenendo wa leo itakuwaje
Kunywa kwanza maji kamanda ushushe hasira. Then tuendelee kusikiliza kesi.Kwa utumbavu wako kwanini Moses Lijenje hajapandishwa kizimbani wakati tuhuma za ugaidi zinamuandama?
Tatizo la mijitu ya chama cha manzi mna chuki sana. Mko tayari kushabikia umwagikaji wa damu isiyo na hatia, kufungwa na kuwekwa ndani kwa kosa la kusingiziwa ili mradi tu mabosi wenu wameamua kufanya dhuluma nyie mazombie mtaitetea kwa nguvu zote dhuluma hiyo.
Hakika kwa namna mnavyofurahia mates ya wenye haki, Mungu baba wa mbinguni ambaye ndiye hakimu wa haki ataachilia kipigo na mapigo kwa vizazi vyenu vyote.
Mtapigwa na jua wakati wa mchana na mtapigwa na mwezi wakati wa usiku.
maisha yenu yanaenda kuwa damu.
Unabii huuu hautapita bure
'Kwa taarifa za uhakika Denis urio yupo Sudan eneo la Darfur kama peacekeeper'Acha uongo lijenje yupo mtaani na mahakama imeshaambiwa
USSR
Alafu ni luteni wa jeshi tena komandooHuyo urio anaonekana ana Mambo ya kike sana
Sasa kama waliuliwa Na polisi mbona sielew? Askari luteni wa jeshi tena komandoo akiwa bado analitumikia jeshi la wananchi ( Jwtz) inakuwaje anauliwa na jeshi limekaa kimya?Huyu na Urio walipotezwa na akina mahita kwa uonevu mkubwa kupata kutokea Nchi hii ipate Uhuru wake
Wakuu naweza kupata picha ya Omary Mahita!?
Taratibu shetani anajifunua. AmenJana nilimsikia Judge akisema kuwa mshatakiwa mmoja wakati akihojiwa na Kibatala kuwa anapewa majawabu!
Nilistuka sana na nikajua hata ma jaji wanaqosikiliza kesi hii 'wameandaliwa' kwa ajili ya mchezo mchafu.
Yupo mtaa gani?Acha uongo lijenje yupo mtaani na mahakama imeshaambiwa
USSR