Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024

Kwanini Nairobi na siyo sisi ?!. Umewahi kujiuliza hilo !
Kwa sababu Kenya wana ofisi za Ubalozi kwao. Kwa mfano, wakati Australia ilikuwa inahudumiwa na Balozi wetu aliyekuwa japan, ambaye ndiye aliyekuwa anahudumia nchi zote za ukanda huo mpaka New Zealand; Kenya walikuwa na ofisi tatu za Ubalozi Australia (Canberra, Sydney na Melbourne), halafu vile vile walikuwa na Ofisi ya Ubalozi Japan huko Tokyo, na ofisi ya Ubalozi New Zealand huko Wellington.
 
Wapi waziri wa mambo ya nje wa Denmark ameandika haya unayoyaandika hapa? Mwaka jana Denmark walitoa report ya mpango wa kuondoa misaada Tanzania kutokana na kuzorota kwa demokrasia na haki za binadamu-Usifanye cheap politics hapa kwa wasiojua.Wanachama wa CCM punguzeni mihemuko na propaganda
 
Kichuguu elewekeni . Kwa hiyo tunajivunia kutokuwa na ubalozi kwenye nchi iliyofungua ubalozi wao hapa kuanzia 1963 ?!. UPUUZI
 
Kichuguu elewekeni . Kwa hiyo tunajivunia kutokuwa na ubalozi kwenye nchi iliyofungua ubalozi wao hapa kuanzia 1963 ?!. UPUUZI
Shida ni kwamba mambo ya msingi wanaleta propaganda-Waziri wa mambo ya nje ya Tanzania anaporomosha mabarua huko kusikitika kutokana na uamuzi waliouchukua denmark licha ya kuwasihi-lakini vichwa maji wengine wanaaminisha watu everything is just fine.Ni ujinga tu
 
Kichuguu elewekeni . Kwa hiyo tunajivunia kutokuwa na ubalozi kwenye nchi iliyofungua ubalozi wao hapa kuanzia 1963 ?!. UPUUZI
Hatujivunii, ila huo ndio udhaifu wetu. Nimeshatembea nchi nyingi sana nikakuta kuwa ofisi za ubalozi wa Kenya huwa ni kubwa na nzuri sana kuliko ofisi za ubalozi wa Tanzania, na Kenya ina balozi katika nchi nyingi sana duniani kuliko Tanzania. Kabla ya kuanza kulalamika kwa nini nchi zinafunga balozi zao hapa, lazima tutatue tatizo la sisi kutokuwa na ofisi za ubalozi nchini kwao !!
 
Toka 1963 hawakuuleta ndiyo watake leo ?!
Ndio maana wanaondoka, kazi imeisha
Malengo pengine yameshafikiwa,
Kama us wanavyoondoka Afghanistan, kazi imeisha wameshasambaratisha maisha ya watu pale basi wanawaachia wamalizane wenyewe
Wazungu si wa kuamini saanaaa
 
Leta hiyo ripoti tuione kama ni genuine siyo kutoka povu bila kuwa na data
 
Tumpe muda mkuu,,,si umiona bei ya pamba kutoka 810 adi 1800. Uyu mama ana nia njema na wananchi, pia rais wawanyonge. Ivyo tumpe muda everything will be okey.
Vipi kwa wasio wakulima wa pamba nao?Miezi 5 aliyonayo kama raisi ameshawanyonga hao wanyonge karibia katika kila sekta anatoza kodi mbili mbili

Sitarajii mabadiliko yoyote
 
Kichuguu elewekeni . Kwa hiyo tunajivunia kutokuwa na ubalozi kwenye nchi iliyofungua ubalozi wao hapa kuanzia 1963 ?!. UPUUZI
Kuwa na Ubalozi kila nchi ulimwenguni sio ufahari. Jikune pale unapoweza na huwezi kumlazimisha mwingine awe na Ubalozi nchini mwako.
 
Ingekua una maanisha basi sisi ndio tungeanza kuwafukuza na sio tungojee waondoke ndio tusema "..lia lia na tegemea watu.."

Yani unakua sawa na yule sungura aliye sema sitaki hizi mbichi...

Upuuzi mtupu.
 
Na bado[emoji16][emoji16]
 
Gwajima tuliambiwa atawika leo viungani,inaelekea keshageuzwa mtetea 🤣 🤣 🤣
 
Ingekua una maanisha basi sisi ndio tungeanza kuwafukuza na sio tungojee waondoke ndio tusema "..lia lia na tegemea watu.."

Yani unakua sawa na yule sungura aliye sema sitaki hizi mbichi...

Upuuzi mtupu.
Mentality za kijani hzo kaka,utaumiza kichwa bure 🤣🤣
 
Msimamo wa Sweden ukielezewa na waziri Peter Eriksson kuhusu haki za binadamu na uhuru wa kujieleza kwa visingizio cha 'Uzalendo' na kuwabatiza wenye mawazo mbadala 'wasaliti'

13 May 2019
Minister for International Development Cooperation Peter Eriksson talks about the most important political issues during this electoral period and what changes he wants to see.
Source: Regeringskansliet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…