Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Watu wanalilia ubalozi wa Denmark kama kwamba na sisi tuna ubalozi huko. Tanzania tuna Sweden kutuwakilisha katika nchi zote za Nordic Baltic na Ukraine ambazo ni karibu nchi kumi. Pale Copenhagen kuna ofisi ndogo tu ya consulate. Haiyumkini inawezekana nao wanafunga ubalozi na kuacha ofisi ndogo ya consulate ili kupunguza gharama za uendeshaji.
Kanada iliwahi kufunga ubalozi, wakahamishia shughuli Kenya, halafu baadaye wakarudi tena. Australia nayo iliwahi kufunga kwa sababu sis hatukuwa na ofisi ya Ubalozi kwao; hivyo wakahamishia shughuli zao Nairobi, lakini baadaye wakarudi tena. Mimi naona kama hili ni jambo la kawaida tu.