Dennis Kitambi mchambuzi bora kuliko wote wa mpira

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Huyu jamaa naona ndie mchambuzi bora kuliko wote wa mpira TZ
anaujua mpira
hana sifa na mbwembwe za kijinga
nimesikia pia ni kocha sijui anafundisha wapi na ana historia ipi
ya mpira but so far hakuna anaeweza kubisha uwezo wake wa kuchambua mpira
 
Kabisa mkuu...! Huyu jamaa yupo deep sana..taaluma yake ya ukocha inambeba
 
Alikuwa anafundisha ndanda akafungashiwa virago umemsahau mwalimu kashasha umemsahau mtu anaitwa haji manara ni wachambuzi kwikwi aisee
 
Mchambuzi wa media hip jaman mbona mm simjui na mm nimiongon mwa wadau wa michezo
 
Huyu jamaa naona ndie mchambuzi bora kuliko wote wa mpira TZ
anaujua mpira
hana sifa na mbwembwe za kijinga
nimesikia pia ni kocha sijui anafundisha wapi na ana historia ipi
ya mpira but so far hakuna anaeweza kubisha uwezo wake wa kuchambua mpira

Weee kweli unaujua mpira!
 
Kabisa mkuu...! Huyu jamaa yupo deep sana..taaluma yake ya ukocha inambeba

Mkuu the boss..Denis Kitambi ana leseni ya ukocha daraja B ya uefa aliyoipata UK..! Ndiye kocha aliyeipandisha Ndanda daraja kuileta ligi kuu, baadae mambo hayakuwa mazuri kwa Ndanda mwanzoni mwa msimu ndipo ndanda management team wakaamua ku terminate contract with kitambi with mutual benefits
 
Huyu jamaa naona ndie mchambuzi bora kuliko wote wa mpira TZ
anaujua mpira
hana sifa na mbwembwe za kijinga
nimesikia pia ni kocha sijui anafundisha wapi na ana historia ipi
ya mpira but so far hakuna anaeweza kubisha uwezo wake wa kuchambua mpira
we naye unafurahisha unadhani mpira wa kuchambua umekaa studio ndio wa uwanjani, alikuwa kocha wa Timu ya Ndanda, ikawa ktk hali mbaya wakamtimua, na alikuwa anaamini sana nguvu za giza, siku wanakwenda kucheza na mtibw huko manungu, aliwatembeza wachezaji wake karibu km. 8, polini eti kukwepa misumali (ndumba) ya mtibwa, barabarani!! wakafika uwanjani too late hata muda wa kula hamna wakaingia uwanjani wakachezea 4!!!Usiwaone wachambuzi wa mpira wamo studio wanajifanya wanajua, hasa hawa wa clouds fm!! timu yao wenyewe ni shida, na ukitaka kujua uwezo wao, wasikilize pre match analysis zao, hata haiji kuendana hata kidogo na match, wao ni wa taalam wa baada ya mechi tu!! sasa hiyl hata mtu aliyetoka sigimbi leo atashindwa?? makosa yote yameshaonekana, Ukitaka kuona watu wenye fani zao angalia super sports, au skysports, sio hawa waganga njaa tu. We kila mtu amekuwa football analyst!!! bora hata mbwiga ye ame specialise kwenye ndondo, na anaweza.
 
Duh umewaua hadi basi
 
Anaujua mpira vizuri, ni kocha aliyeipandisha Ndanda, ila alipigwa chini baada ya vipigo vya mfululizo mwanzoni mwa ligi kuu ya vodacom.
 
Tatizo ni Simba damu. Ndiye aliye ipaisha Ndanda F.C Ligi kuu.
Kikubwa ni mchambuzi mahiri maana kwa Tanzania ni kawaida kwa watu kuwa na ushabiki wa timu mojawapo japokuwa wengine hawajionyeshi
 
we naye unafurahisha unadhani mpira wa kuchambua umekaa studio ndio wa uwanjani, alikuwa kocha wa Timu ya Ndanda, ikawa ktk hali mbaya wakamtimua, na alikuwa anaamini sana nguvu za giza, siku wanakwenda kucheza na mtibw huko manungu, aliwatembeza wachezaji wake karibu km. 8, polini eti kukwepa misumali (ndumba) ya mtibwa, barabarani!! wakafika uwanjani too late hata muda wa kula hamna wakaingia uwanjani wakachezea 4!!!Usiwaone wachambuzi wa mpira wamo studio wanajifanya wanajua, hasa hawa wa clouds fm!! timu yao wenyewe ni shida, na ukitaka kujua uwezo wao, wasikilize pre match analysis zao, hata haiji kuendana hata kidogo na match, wao ni wa taalam wa baada ya mechi tu!! sasa hiyl hata mtu aliyetoka sigimbi leo atashindwa?? makosa yote yameshaonekana, Ukitaka kuona watu wenye fani zao angalia super sports, au skysports, sio hawa waganga njaa tu. We kila mtu amekuwa football analyst!!! bora hata mbwiga ye ame specialise kwenye ndondo, na anaweza.

Majungu pembeni, Kitambi anajua mpira wa bongo kuliko wachambuzi wengi wa bongo, na usisahau ndio kaipandisha Ndanda. Mambo ya imani ya nguvu za giza ni uongozi ni suala la uongozi.
 
Back
Top Bottom