Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Miguel Gamond anasema Dennis Nkane anafaa kuwa beki wa pembeni ansye panda na kushuka na ameanza kumtrain kwenye hiyo position.
Jana dogo kaupiga mwingi sana, yani anakuzuia + kupiga soka burudani. Ni kama vile Professor Pacome anakufunga na kukupiga chenga, kanzu na tobo pia.
Natoa wito kwa Yanga kumlinda sana Dennis Nkane Manchester City wasije wakamchukua.