Denying the Holocaust



Nakubaliana na usemi wako kuwa ni jambo zuri kujadili mambo haya na kwamba mengine yaliyotokea kwa makundi mengine hayo ni mambo mengine au tofauti. Lakini sisi waafrika tunatakiwa tuwe tunayaangalia mambo yaliyowasibu Babu zetu na Bara zima la Afrika kwanza kabla ya kukubali haya ya juzi. Babu zetu zaidi ya milioni mia sita walichukuliwa utumwa na wengi sana waliuwawa kikatili na miili yao kutupwa baharini. Dada zetu walifanyiwa vitu vya kishenzi kama wanyama. Waarabu walichukua watumwa wengi sana lakini hawaonekani hata mmoja aliyesalia arabuni, je waienda wapi? Nani lini ataomba msamaha? Ingebidi tuanzie hilo la siku nyingi zaidi na lilillohusu watu wengi zaidi ndipo turejee kwa milini sita ya juzi.
 

...pamoja na maoni yako mazuri, naomba kutoa hoja ya nyongeza na msisitizo kwamba hizo nii propaganda zao kizazi/wana wa 'Israeli' (msome hila zake kwenye agano la kale mpaka akadhulumu urithi wa nduguye!) kutafuta sympathy ya dunia nzima. Kuwataja Red Indians na Aborgines ilikuwa mfano tu kuwa hata races nyingine zimedhurika vile vile... kwanini Jews tu ndio wakiguswa dunia nzima ikae attention?

What is a big deal kama Ahmadinejad hakubali tukio la Holocaust? na kama unazungumzia Historia, nchi mbali mbali duniani karne na karne walikuwa against na hawa Jews. Ngoja nikupe na mifano ya kihistoria;


Swali la msingi nikuulize sasa; Kwanini Jews wanachukiwa hivyo karne na karne? why hii kitu Anti semitism? Inatokana na nini...?

Ahmadinejad ana maana yake kukana hadharani Holocaust hata kama moyoni anaamini otherwise. Kwa mifano hapo juu naamini utapata picha japo kwa muhtasari wa historia ya hawa Jews na makasheshe yao kwenye 'mataifa!'

Ugomvi unaoendelea sasa baina ya Jews na Hamas, Hizbollah, na wanaowakana matendo yao ni muendelezo tu wa historia iwapo umekusudia 'itumulike tunapokwenda'...
 
Mbu unachanganya vitu viwili: anti-Semitism na Holocaust. Anti-Semitism kama ulivyoonyesha kwa kutaja matukio mbali mbali dhidi ya Wayahudi katika historia ilianza kabla na baada ya Holocaust. Sasa unataka kusema kwamba kwa kuwa kulikuwa na anti-Semitism kabla ya Holocaust ndio Ahmedinejad anayo haki ya kusema kwamba hakukuwa na Holocaust kabisa?
 
Hoja zinakwenda vizuri, ila uko tunakoelekea nahisi kama kuna dalili za mchafuko wa hali ya hewa.
 
Hoja zinakwenda vizuri, ila uko tunakoelekea nahisi kama kuna dalili za mchafuko wa hali ya hewa.

Sidhani kama kuna machafuko yoyote! Hoja ziendelee kuletwa ili ziwekwe kwenye mizani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…