Denying the Holocaust

Denying the Holocaust

Yes mkuu alicho fanya Papa Yohana ni kitu cha kupendeza sana. Ina furahisha pale mtu anapo kiri makosa na kuomba msamaha. Hakuna dhambi kubwa kama kutenda dhambi na kutetea dhambi hiyo. Na pia ina pendeza wana JF wakiongea kwa ustarabu bila jaziba na kutoa hoja badala ya hisia tu.


Nakubaliana na usemi wako kuwa ni jambo zuri kujadili mambo haya na kwamba mengine yaliyotokea kwa makundi mengine hayo ni mambo mengine au tofauti. Lakini sisi waafrika tunatakiwa tuwe tunayaangalia mambo yaliyowasibu Babu zetu na Bara zima la Afrika kwanza kabla ya kukubali haya ya juzi. Babu zetu zaidi ya milioni mia sita walichukuliwa utumwa na wengi sana waliuwawa kikatili na miili yao kutupwa baharini. Dada zetu walifanyiwa vitu vya kishenzi kama wanyama. Waarabu walichukua watumwa wengi sana lakini hawaonekani hata mmoja aliyesalia arabuni, je waienda wapi? Nani lini ataomba msamaha? Ingebidi tuanzie hilo la siku nyingi zaidi na lilillohusu watu wengi zaidi ndipo turejee kwa milini sita ya juzi.
 
Mkuu je watu wana kataa yaliyo wakuta Hahindi wekundu na Aborigins wa Australia? Hapa tuna ongelea baadhi ya watu kukataa tokeo ambalo ni wazi lili tokea. Tukianza mambo ya mbona hivi mbona vile basi hakuna tukio lita kalo jadiliwa maana kila tukio kuna wata kaosema mbona pia kuli tokea vile. I sympathize with the above groups you have mentioned and if you have details about what happened to them naomba umwage hapa JF.

Ninacho taka ni sisi sote tujifunze kutokana na matokeo muhimu ya kihistoria na tujifunza kutokana na makosa siyo kukana. Iwe Genonise ya Rwanda, Holocaust, mauaji ya Red Indians, 9/11 etc. Mimi leo nimeona niongelee swala hili ila watu wanaweza na wao kuanzisha thread za matukeo mengine.

"He who does not know history is bound to repeat it"
"Usipo jua ulipo toka hauwezi jua unapoenda"

Asante kwa maoni yako mkuu mbu.

...pamoja na maoni yako mazuri, naomba kutoa hoja ya nyongeza na msisitizo kwamba hizo nii propaganda zao kizazi/wana wa 'Israeli' (msome hila zake kwenye agano la kale mpaka akadhulumu urithi wa nduguye!) kutafuta sympathy ya dunia nzima. Kuwataja Red Indians na Aborgines ilikuwa mfano tu kuwa hata races nyingine zimedhurika vile vile... kwanini Jews tu ndio wakiguswa dunia nzima ikae attention?

What is a big deal kama Ahmadinejad hakubali tukio la Holocaust? na kama unazungumzia Historia, nchi mbali mbali duniani karne na karne walikuwa against na hawa Jews. Ngoja nikupe na mifano ya kihistoria;

The following is a brief summary of Incidents involving Jews in History...

1012 A.D.
Emperor Henry II of Germany expels Jews from Mainz, the beginning of persecutions against Jews in Germany.

1096 A.D.
First Crusade. Crusaders massacre the Jews of the Rhineland.

1190 A.D.
Massacre of Jews in England.

1290 A.D.
Jews expelled from England.

1298 A.D.
Massacre of thousands in Germany, in 146 localities.

1306 A.D.
Expulsion from France.

1389 A.D.
MASSACRES in Bohemia, Spain.

1483 A.D.
EXPULSIONS from Warsaw, Sicily, Lithuania, Portugal.

1492 A.D.
ALL JEWS EXPELLED FROM SPAIN.

1510 A.D.
EXPELLED from Brandenburg, Germany.

1553 A.D.
Rome seized and burned the Talmud by order of the POPE.

1569 A.D.
POPE PIUS V ordered all Jews out of the Papal states.

1593 A.D.
EXPULSIONS from Italy and Bavaria.

1614 A.D.
JEWS attacked and driven out of Frankfurt, Germany.

1648 A.D.
Leader of the Cossacks, in the Ukraine massacres 100,000 Jews and destroyed 300 communities.

1655 A.D.
Massacres of Jews in war against Sweden & Russia by Poland.

1715 A.D.
POPE PIUS VI issues edict against Jews.

1768 A.D.
20,000 Jews in Poland killed.

1805 A.D.
MASSACRE of Jews in Algeria.

1879 A.D.
Word anti-Semitism comes into existence.

1905 A.D.
Russian pogroms continue. Also in Morocco, Ukraine, 300 dead.

1919 A.D.
3000 Jews killed in Hungarian pogroms.

1938 A.D.
Burning in AUSTRIA & GERMANY of Synagogues. Jews sent to concentration camps. Beginnings of the Holocaust.

1941 A.D.
EXPULSION of Jews from the German Reich to Poland. Riots against Jews in Iraq.

1942 A.D.
Mass transports of Jews from Belgium & Holland.

1944 A.D.
EXTERMINATION OF HUNGARIAN JEWS.

1945 A.D.
HOLOCAUST Final Count: 6,000,000 Jews slaughtered.

1946 A.D.
Pogroms in Poland - 42 Jews murdered.

1948 A.D.
BIRTH OF THE STATE OF ISRAEL.

source; http://christianactionforisrael.org/antiholo/summanti.html

Swali la msingi nikuulize sasa; Kwanini Jews wanachukiwa hivyo karne na karne? why hii kitu Anti semitism? Inatokana na nini...?

Ahmadinejad ana maana yake kukana hadharani Holocaust hata kama moyoni anaamini otherwise. Kwa mifano hapo juu naamini utapata picha japo kwa muhtasari wa historia ya hawa Jews na makasheshe yao kwenye 'mataifa!'

Ugomvi unaoendelea sasa baina ya Jews na Hamas, Hizbollah, na wanaowakana matendo yao ni muendelezo tu wa historia iwapo umekusudia 'itumulike tunapokwenda'...
 
Mbu unachanganya vitu viwili: anti-Semitism na Holocaust. Anti-Semitism kama ulivyoonyesha kwa kutaja matukio mbali mbali dhidi ya Wayahudi katika historia ilianza kabla na baada ya Holocaust. Sasa unataka kusema kwamba kwa kuwa kulikuwa na anti-Semitism kabla ya Holocaust ndio Ahmedinejad anayo haki ya kusema kwamba hakukuwa na Holocaust kabisa?
 
Hoja zinakwenda vizuri, ila uko tunakoelekea nahisi kama kuna dalili za mchafuko wa hali ya hewa.
 
Hoja zinakwenda vizuri, ila uko tunakoelekea nahisi kama kuna dalili za mchafuko wa hali ya hewa.

Sidhani kama kuna machafuko yoyote! Hoja ziendelee kuletwa ili ziwekwe kwenye mizani!
 
Back
Top Bottom