Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
DENZEL OMONDI alionekana kutrend kwenye mitandao ya kijamii kwenye mgomo huko kenya naye ni muwanga ambaye alipotea na wengine ambao walionekana kujipost bungeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KENYA HII SYSTEM WANAYO ILA NDIO TUMEKOPY KWAODuuh,kumbe kenya nako wasiojulikana wapo.
Hapo walianza tu, safari ijayo watajua wapi pa kurekebisha,,,hii kitu hadi wale ma hackers watata walishatoa onyo,,acha tuone level wanayotaka kuelekeaKupambana na mamlaka sio mchezo, mbaya zaidi walipost.
Huko karibia kila kabila lina godfather wake, Ruto katia mpira kwapani ila analipa kimyakimya sema haitasaidia jamaa ameshaingia mtegoniNaanza kuamini haya maandamano ya Kenya pamoja na yooote yana mkono wa mtu, kilichokua kinasubiriwa ni Ruto ajichanganye na alipoingia king watu wakasukuma kete. , hivyo basi kundi hilo hilo la mitego limeanza kusukuma kete nyingine muhimu katika mipango yao ili ionekane Ruto anaua watu kwa kisasi hapo sasa maandamano yatazidi na lengo lao litazidi kutimiq, jiulize kama Ruto kakubali kutia mpira kwapani kwanini madogo kila kukicha wanazua jipya?
mkuu mbona umeitimisha mapemaUnavamia ofisi za Bunge, unaharibu vitu halafu unaji post kwenye mitandao. Hiyo ni dharau kubwa kwa ofisi ya Bunge hawawezi kukuacha salama.
Utashughulikiwa tu. Kila kitu kina gharama zake, ukifanya kitu cha hovyo lazima ujiandae kulipia gharama.
Swali, unakufa kwenye maandamano kwa faida ya nani?????????????????
Mkuu kuondoa Serikali iliyopo madarakani kwa njia ya maandamano sio kazi rahisi, inawezekana lakini sio rahisi hata kidogo.mkuu mbona umeitimisha mapema
yawezekana kifo chake kikazua maandamano makubwa hadi kupelekea kumuondoa luto ama mabadiriko yoyote sasa sijui itakuwa faida ya nani
tatizo lako unaona kama sifa ila wananchi wakiamua hata wewe ungeshauliwa kwa maneno yako.Mkuu kuondoa Serikali iliyopo madarakani kwa njia ya maandamano sio kazi rahisi, inawezekana lakini sio rahisi hata kidogo.
Na hata kama watafanikiwa kuindoa Serikali ya Ruto madarakani, hao waliokufa wanapata faida gani???
Mimi binafsi sioni faida ya kupoteza uhai kwa kuindoa Serikali. Utaindoa lakini sio wewe wala ndugu zako watakaoingia Ikulu. Watakaoingia ni wengine ambao hata hawakujui. Wakati huo wewe unaoza kaburini.
Ndiyo maana nimeuliza unatoa uhai wako kwenye maandamano kwa faida ya nani????
Nakuna mtu alitoa ushauri hao vijana walindwe walikuwa 3 hivi na kuna mdada mmoja juzi kwenye mdahalo nimeona nae kasema vibaya sana aisee nae wanasema alindwe jamni madaraka haya duh!Kupambana na mamlaka sio mchezo, mbaya zaidi walipost.