Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Nyerere akisema kitu ndio kinakuwa? Was he perfect during his tenure of 23yrs in office?Whats The best ways of tackling the so called Political And economical Obstacles??
Is it not Confrotation to the Ruling Group so to see that the Ruled Group are awaking?
And Confrotation doesnt alwayz brought violence so who brought it?
As per my Knowledge hakuna mwananchi anaye anzisha what so called violence ila ni watawala baada ya kutumia nguvu kuwatawanya Waandamanaji na wao inabdi watumia nguvu kufikisha ujumbe wao..
Uliona Tanzania walipoandmana Chadema Kulitokea Violence unajua kwanini?
Mtawala hakutaka Kuminyana na Wananchi aliwaachia watimizie adhima yao..
Hakuna Mtu anayependa Violence itokee na wala hakuna mtu anayependa kufa ila kuna muda ukifika watu huona Liwalo na Lile..
Mwalimu nyerere aliwahi kusema na nitaweka nukuu zake chache ili ujifunze kabla sijaingia Deep kwenye Political science kukuelewesha kitu...
"Amini nawaambieni enyi waswahili wachache
mnaotawala, mnaamini kweli mtawaongoza
watanzania kwa lazma wakati wamepoteza matumaini na mtegemee watakaa kwa amani na utulivu?
Amani ni zao la matumaini. Pindi matumaini yanapotoweka kutakuwa na vurugu katika jamii. Nitashangaa kama hawa watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? Nananchi wanapopoteza matumaini unajenga volcano. Volcano hii italipuka siku moja, labda kama watu hawa ni wajinga. Watanzania watakuwa ni wajinga na mataahira kama watakubali kuendelea kukandamizwa na watu wachache katika nchi yao wenyewe".
(Nukuu ya kwanza ya Hotuba ya mwalimu nyerere)
Pia aliwahi kusema..
"Nawaambieni na msikilize kwa makini: UTIl ukizidi sana unakuwa WOGA. Mara zote utii huzaa unafiki na kujipendekeza. Sasa nyinyi watumishi wa umma kwa wingi wenu kama mmeshindwa kupiga kura kuondoa viongozi dhalimu, bora mfe tu"
(NUKUU YA PILI YA HOTUBA YA MWALIMU NYERERE)
Pia aliwahi kusema:- (naomba hii niiandike kwa maandishi ya Kijani kabisa ili uione)
"Siku inakuja ambapo watu watachagua kifo kuliko fedheha na nawahurumia Watanzania watakaoiona siku hiyo! Na ole wao watakaoifanya siku hiyo isiepukike. Natumaini na kusali kuwa siku hiyo kamwe isifike"
(Nukuu ya Tatu kwako ya mwalimu Nyerere)
Swali kwako Nani aliyekuwa na Machungu na Nchi hii kati yako na Nyerere???
Je, yeye wakati akiwa Rais aliruhusu kupingwa, aliruhusu maandamano?
Is this not the same guy who was putting people in detention for opposing his ideology of single party system or socialism?
Those who dared to oppose him were not labeled treasonous?
But, I understand why alifanya hivyo ni ili nchi itawalike. Na Serikali ina wajibu wa kutumia nguvu ili nchi itawalike.
Why?
Because stupid politicians out of their own agendas wanaweza kuwatumia vijana kuvuruga amani ya nchi kwa kivuli cha "kupigania maisha bora".
Nchi yeyote duniani isipokuwa na uwezo wa kuwathibiti raia wachache waovu nchi hiyo haitaweza kujitawala.