Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Majina yalitolewa kabisa kweny vyombo vya habari watatafutwa mmoja baada ya mmoja .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Jambo la hatari sana kwa ustawi wa Nchi kupooza kwa kutoa uhai.Majina yalitolewa kabisa kweny vyombo vya habari watatafutwa mmoja badala ya mmoja .
Hawa wanaleta hasara kubwa walifikiria ni sifa , hasara kubwa wamesababishaDuh! Jambo la hatari sana kwa ustawi wa Nchi kupooza kwa kutoa uhai.
Sawa nakukubalia lakini kweli kuwahukumu kwa uhai? ndio italipia hiyo hasra?Hawa wanaleta hasara kubwa wlaifikiria ni sifa , hasara kubwa wamesababisha
Kama inafaa kugharamia mabadiliko wala sioni ajabu. Yeye ni sehemu ya hiyo gharama na ninaamini hata na wao walijua kuwa watakuwa na gharama ya kulipa. Siku mabadiliko wanayoyalenga yakipatikana majina ya wahanga hawa yataandikwa kwa wino wa dhahabu.Mkuu kuondoa Serikali iliyopo madarakani kwa njia ya maandamano sio kazi rahisi, inawezekana lakini sio rahisi hata kidogo.
Na hata kama watafanikiwa kuindoa Serikali ya Ruto madarakani, hao waliokufa wanapata faida gani???
Mimi binafsi sioni faida ya kupoteza uhai kwa kuindoa Serikali. Utaindoa lakini sio wewe wala ndugu zako watakaoingia Ikulu. Watakaoingia ni wengine ambao hata hawakujui. Wakati huo wewe unaoza kaburini.
Ndiyo maana nimeuliza unatoa uhai wako kwenye maandamano kwa faida ya nani????
Walichofanya sio poa ile ni hasara ya mabillion , haya mambo usipenda kujiweka mbele mbele na conscious za kishamba utapotea .Sawa nakukubalia lakini kweli kuwahukumu kwa uhai? ndio italipia hiyo hasra?
kama umesoma iki kitabu kuna sehemu anasema "chembe ya ngano bila kufa iwezi kuzaa ngano zengine"Walichofanya sio poa ile ni hasara ya mabillion , haya mambo usipenda kujiweka mbele mbele na conscious za kishamba utapotea .
Kuna jamaa walisababisha mgomo na vurugu pale udsm miaka ya 90's mpaka leo vyeti vyao vina alama kila wanapoenda wanashindwa kusoma Masters , sio wote ila wale walijifanya warataibu wa mgomo kwa kukaa mbele.
Nilitaka nimpe huu mfano, grain of wheat, nikahofia pengine ninkizazi cha dot com ambao fasihi kwao ni mtihani.kama umesoma iki kitabu kuna sehemu anasema "chembe ya ngano bila kufa iwezi kuzaa ngano zengine"
. View attachment 3038350
Sioni kama kuharibu items za mabilion inalingana na gharama za kuharibu maisha ya wanachi wote,Walichofanya sio poa ile ni hasara ya mabillion , haya mambo usipenda kujiweka mbele mbele na conscious za kishamba utapotea .
Kuna jamaa walisababisha mgomo na vurugu pale udsm miaka ya 90's mpaka leo vyeti vyao vina alama kila wanapoenda wanashindwa kusoma Masters , sio wote ila wale walijifanya warataibu wa mgomo kwa kukaa mbele.
A usual african with blaming gameNaanza kuamini haya maandamano ya Kenya pamoja na yooote yana mkono wa mtu, kilichokua kinasubiriwa ni Ruto ajichanganye na alipoingia king watu wakasukuma kete. , hivyo basi kundi hilo hilo la mitego limeanza kusukuma kete nyingine muhimu katika mipango yao ili ionekane Ruto anaua watu kwa kisasi hapo sasa maandamano yatazidi na lengo lao litazidi kutimiq, jiulize kama Ruto kakubali kutia mpira kwapani kwanini madogo kila kukicha wanazua jipya?
🤣🤣🤣🤣ila jf kuna memba pasua 🤣🤣🤣🤣Najua huko ruto naye anajiaandaa kutolewa mumbu.......maana wakipata jazba wale jamaa labda awape mke na yule mtoto wake nungayembe ndio watatulia
Ww kwenu kuna majizi yako bungeni yanaiba na unayalipa mshahara kwa kodi yako na bado yanakutingia sheria za kipuuzi na tozo kibao je umeyashughulikia 🤯Unavamia ofisi za Bunge, unaharibu vitu halafu unaji post kwenye mitandao. Hiyo ni dharau kubwa kwa ofisi ya Bunge hawawezi kukuacha salama.
Utashughulikiwa tu. Kila kitu kina gharama zake, ukifanya kitu cha hovyo lazima ujiandae kulipia gharama.
Swali, unakufa kwenye maandamano kwa faida ya nani?????????????????
Mapinduzi yakianza..... Jibu swali, ni nani anayefaidika na mapinduzi; ni yule anayekufa wakati wa mapinduzi au ni wale wachache watakaounda Serikali???tatizo lako unaona kama sifa ila wananchi wakiamua hata wewe ungeshauliwa kwa maneno yako.
unajua mapinduzi yakianza mpaka na chuki na visasi vinawakuta watu kama nyie mkifa
Changamoto kenya wapo nayo ni kuwa hawana kiongozi mkuu wa maandamano, kila mtu anayeandamana yupo level moja na mwingine.Kupambana na mamlaka sio mchezo, mbaya zaidi walipost.
nimekosa cha kukujibu maana sijui kama walikufikisha hapo ulipo leo unaona uhuru wa nchi yakoMapinduzi yakianza..... Jibu swali, ni nani anayefaidika na mapinduzi; ni yule anayekufa wakati wa mapinduzi au ni wale wachache watakaounda Serikali???
Mimi binafsi siko tayari kufa na kujitoa muhanga ili "wapumbavu" wengine waingie Ikulu.
Hii dunia imejaa wapumbavu wengi sana, mkimtoa yule mmoja aliyeko Ikulu ataingia mwingine naye atafanya upumbavu mwingine.
Baada ya wakoloni kuondoka, dhiki, umaskini, maradhi na ujinga waliondoka navyo?Kama inafaa kugharamia mabadiliko wala sioni ajabu. Yeye ni sehemu ya hiyo gharama na ninaamini hata na wao walijua kuwa watakuwa na gharama ya kulipa. Siku mabadiliko wanayoyalenga yakipatikana majina ya wahanga hawa yataandikwa kwa wino wa dhahabu.
Hata wakati watu wanapigania kujikomboa na kujitawala kutoka kwa wakoloni,wapo waliokuwa wanaona harakati hizo hazikuwa na maana lakini leo sio wao tu bali vizazi vyao vyote vinafurahia matunda ya sadaka ya uhai iliyotolewa na wapambania uhuru waliokufa katika mchakato.
Na Nchi itatumbukia mahala ambako kuitoa itakuwa vigumu sana , hata majirani hatutakuwa salama maana ni lazima tuwapokee wasio na nguvu za kujitetea.Changamoto kenya wapo nayo ni kuwa hawana kiongozi mkuu wa maandamano, kila mtu anayeandamana yupo level moja na mwingine.
Wakiamua kufanya hivi watamaliza waandamanaji wote.