zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kama kawaida mtasingizia Kenyatta!! Ni hivi muswada ulikua mbovu na Kama ni kuua Ruto ameua sijui kwanini tunataka kusema kasingiziwa!! Yaani marais waafrika wanafanya ujinga alafu wakichukuliwa hatua wanadai ni hujuma za mabeberu au wapinzaniNaanza kuamini haya maandamano ya Kenya pamoja na yooote yana mkono wa mtu, kilichokua kinasubiriwa ni Ruto ajichanganye na alipoingia king watu wakasukuma kete. , hivyo basi kundi hilo hilo la mitego limeanza kusukuma kete nyingine muhimu katika mipango yao ili ionekane Ruto anaua watu kwa kisasi hapo sasa maandamano yatazidi na lengo lao litazidi kutimiq, jiulize kama Ruto kakubali kutia mpira kwapani kwanini madogo kila kukicha wanazua jipya?