DENZEL OMONDI ambaye kwenye list ambayo walishirki kujipost bungeni huko kenya naye amefariki na kutupwa

Nyerere akisema kitu ndio kinakuwa? Was he perfect during his tenure of 23yrs in office?

Je, yeye wakati akiwa Rais aliruhusu kupingwa, aliruhusu maandamano?

Is this not the same guy who was putting people in detention for opposing his ideology of single party system or socialism?

Those who dared to oppose him were not labeled treasonous?

But, I understand why alifanya hivyo ni ili nchi itawalike. Na Serikali ina wajibu wa kutumia nguvu ili nchi itawalike.

Why?

Because stupid politicians out of their own agendas wanaweza kuwatumia vijana kuvuruga amani ya nchi kwa kivuli cha "kupigania maisha bora".

Nchi yeyote duniani isipokuwa na uwezo wa kuwathibiti raia wachache waovu nchi hiyo haitaweza kujitawala.
 
Umeongea Point kubwa lakini unatkiwa Kudhibiti rais Huku ukionyesha kwamba Kuna Hope.. Na matarajio ya Wananchi yawe Juu pia..

Sasa Jiulize kama Nchi ikifikia 40% ya Bajeti yake ni Deni la Taifa unafikiri kuna Hope tena hapo???

Ndyo wakenya Waliamua Kuona hakuna hope..
Nafuu Tanzania bado tuna nafasi na deni letu sio kubwa sana ila viongozi wanatakiwa kuangalia sana
 
Sijui wazazi wake wanajiskiaje,toto wamesomesha ili wapate msaidizi kaenda kuandamana na wahuni mpk anamalizwa.
What a mess
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…