TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,199
- 13,029
Mungu amsaidie Kwa kweli..Aliwekwa Ngome mwaka 2018 akatoka 2021 na akagombana na mama yake ndo akahukumiwa miaka 7
Mungu amsaidie Kwa kweli..Aliwekwa Ngome mwaka 2018 akatoka 2021 na akagombana na mama yake ndo akahukumiwa miaka 7
KabisaMental case wangempeleka mirembe
Alikuja kubadilisha maamuzi, nakumbuka aliandika uzi kabisa.Itakuwa alifanikiwa kumuowa Malia Obama.
Mkuu uliwezekana au bado?NGOJA NITAONGEA NA CHAMAA
ASSIST KAMA HIZI ZA HATAREE ANAZIMUDU
Ngoja wadau wajeeemwenye habari? they guy needs help wadau!
Kabisa, hakutawa kabisa kupelekwa huko, alikuwa anahitaji msaada wa afya ya akili zaidi.mwenye habari? they guy needs help wadau!
Alikua na mental issueDah! Deo Kisandu, aka Don Nalimison, aka Civilian Coin! alikuwa ni mwamba sana humu jukwaani. Hakuwa na ugomvi na mtu, zaidi tu ya kutuburisha na nyimbo zake nyingi alizotunga yeye mwenyewe.
Ukirudi nyuma utakutana na taarifa za baadhi ya wadau wanaosema mwamba alihukumiwa kwenda jela miaka 7 mwaka 2022. Kwa hiyo kama bado yupo hai huko aliko, basi akitoka salama atakuka kutusalimia na pia kutupatia experience ya kile kilichomtokea.mwenye habari? they guy needs help wadau!
Mrejesho wa michangoo vipiNashauri Maxence Melo ukusanye michango tutafute mwanasheria akamtoe Nalimison
Aliifanya JamiiForums kuwa sehemu ya maisha yako.
Tafadhari Moderator jibu ikikupendeza.
Cha kushangaza aliwahi kutuwekea majibu ya vipimo vya afya ya akili kutoka Mirembe na Muhimbili! Na vyote vilionesha mwamba hakuwa na hilo tatizo eti!Alikua na mental issue
Alikuwa anajitoa fahamuCha kushangaza aliwahi kutuwekea majibu ya vipimo vya afya ya akili kutoka Mirembe na Muhimbili! Na vyote vilionesha mwamba hakuwa na hilo tatizo eti!
Mimi nadhani alikuwa na tatizo la afya ya akili lililo sababishwa na msongo wa mawazo unao husiana na matatizo ya kifamilia. Ila ndiyo sijaelewa ilikuwaje hospitali kubwa na maarufu kama Mirembe na Muhimbili zishindwe kuligundua hili tatizo la mwana jamii forums mwenzetu.Alikuwa anajitoa fahamu
Basi itakua mambo ya kiswahili/ kupigana jujuCha kushangaza aliwahi kutuwekea majibu ya vipimo vya afya ya akili kutoka Mirembe na Muhimbili! Na vyote vilionesha mwamba hakuwa na hilo tatizo eti!