kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
Kwa hili hakimu ndo mgonjwa zaidi wa akili
KabisaUongozi wa jf tusaidieni katika moja na mbili tuone namna ya kumsaidia ndugu yetu.
Alikuwa anajibu tangentially yaani majibu yake na hoja anayoulizwa hazikutani. Hadi wewe unayesoma kichwa kinaumaMimi nadhani alikuwa na tatizo la afya ya akili lililo sababishwa na msongo wa mawazo unao husiana na matatizo ya kifamilia. Ila ndiyo sijaelewa ilikuwaje hospitali kubwa na maarufu kama Mirembe na Muhimbili zishindwe kuligundua hili tatizo la mwana jamii forums mwenzetu.
Alipata pisi nyingine??Alikuja kubadilisha maamuzi, nakumbuka aliandika uzi kabisa.
Huyu jamaa huyu asamehewe in future hayuko sawaWakuu, kwema?
Nimemkumbuka mwamba Deo Kisandu na namna aliburudisha hapa jukwaani na ikabidi ni Google taarifa zake. Nimekutana na hukumu ya mahakama kuwa alifungwa miaka Saba jela kwa kosa la kumtukana mama yake kuwa ni mchawi baada ya kukatazwa kuuza kitanda alipo kuwa akiishi na mama yake kahama.
Natamani nikamsalimie, naomba mwenye taarifa za magereza aliopo atujuze.