Majumba saba
Senior Member
- Feb 1, 2019
- 145
- 610
Alikua serious kweli ila niliamini dish halipo sawa baada ya kufuta nyimbo na video zake zote YouTube akidai watu wanapiga mabilioni na wanahujumu muvi yake ya boombattack isitokeIvi jamaa alikua serious kumbe na post zake???
Kuna member alifungua thread kuulizia lakini hakuna jibu la maana alilopata.Wakuu, kwema?
Nimemkumbuka mwamba Deo Kisandu na namna aliburudisha hapa jukwaani na ikabidi ni Google taarifa zake. Nimekutana na hukumu ya mahakama kuwa alifungwa miaka Saba jela kwa kosa la kumtukana mama yake kuwa ni mchawi baada ya kukatazwa kuuza kitanda alipo kuwa akiishi na mama yake kahama.
Natamani nikamsalimie, naomba mwenye taarifa za magereza aliopo atujuze.
Yaani! Ukisoma hiyo hukumu inaonesha kabisa jamaa alikua na mental case!! Sijui kwanini wanampeleka gerezani badala ya hospitali akatibiweMental case wangempeleka mirembe