Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Na hapo ukute mama alikua anamtegemea kijana.Wote wajinga tu, mnatukanana kisa kitanda, mama ana amani mtoto wake wa kumzaa anavyokaa gerezani miaka 7? Waafrika inabidi turudishe Mila zetu, tena Hawa wasukuma kabisa, haya mambo kinaitwa kikao Cha ukoo mtu anakula fimbo za kutosha maisha yanaendelea
Wamasai ni marufuku kupelekana hata polisi