Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndo nimekupataDon Nalimison
Hapana, deo alirudi home baada ya kufukuzwa kazi na kumaliza kifungo chake cha kwanza cha miaka mitatu.Na hapo ukute mama alikua anamtegemea kijana.
Yeah huzuni sana lo
Inasikitisha...View attachment 3078714
So sad, huyu jamaa alitakiwa apewe msaada. hakutakiwa kuhukumiwa Jela
[emoji7][emoji7]Mmmmmmhmn ila familia za kiafrika bwana. Sasa hapo wanagombana kisa kitanda kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama mzazi angetumia tu hekima amuache auze hicho kitanda tuone.
Upande mwingine kijana na yeye alikuwa anafuata nini kwa mama yake na anaona hawana maelewano mazuri hata kidogo?
Muda mwingine ukiona maisha yapo kasi sana just kaa mbali na potential triggers za wendawazimu. Ukiona ukiongea na watu fulani wanakuchanganya then kaa mbali nao.
Ila amefanya makosa kumwita mama mzazi au hata mtu mzima mchawi. Sio jambo zuri kwa maana linafedhehesha.
Naunga mkono hojaJamaa atakuwa ameonewa, alipata changamoto ya afya ya akili, halafu wengi wetu humu tuliona dalili zote lakini tukashindwa namna ya kumsaidia zaidi ya kumdhihaki na kumcheka. Tulikosea sana.
Naunga mkono hoja, wanaJF tufanye namna ya kumpa msaada, kwanza wa kisheria na pili wa matibabu.
Umenikumbusha mengi DON NALIMISONIDon Nalimison
Watu washasema alikuwa na dalili zote za kudata... Huenda alipayuka mahakamani na kuanza kutoa maneno ya hovyo na utovu wa nidhamu kwa Mama yake, Mahakama kwa ujumla, polisi, hakimu, wasikilizaji... Ikawa tafran pale... Mahakimu na majaji nao hawachelewi, wakaamua zao kugonga kinyundo wakampiga nyundo saba papo hapo. Hawakuona kama kuna haja ya ku-deal na kichaa tena, akadate jela vizuri 😁😁😁👍Sheria si hua haiamini Uchawi? Ikawaje akafungwa miaka 7 kwa kumtuhumu Mama yake kua ni mchawi?
Wanasheria labda mtueleweshe hapa.
Mkuu wewe ni mgeni humu kiasi usimjue...DON NALIMISONI (DEO KISANDU)Ndio nani?
Ongezea na Maghayo ndio mrithi wa Deo Kisandu hapa Jf.Ongezea Mpwayungu Village nae anahitaji intensive care