adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Angalia profile yake , nyuzi zake full comedy halafu comedy serios jinsi matukio anavyopangilia na anavyojibu maswali sometimes unaweza kusema jamaa ni mzima ila anajichetua tu kama Maghayo The Mongo Barbarian.Mim mpaka leo sijaelewa huyo jamaa DON alikuwa anaandikaga vitu vya ajabu ajabu afu watu wakawa wanafatilia nyuzi zake kuliko hata wanavyotembelea nyuzi za GENTAMYCINE
Niliwah mfatilia mpaka youtube maana nilishangaa mimi ni mdau wa mziki iweje tz kuwe na msanii mkubwa afu nisimjue