Deo Kisandu kafungwa jela?

Deo Kisandu kafungwa jela?

Mim mpaka leo sijaelewa huyo jamaa DON alikuwa anaandikaga vitu vya ajabu ajabu afu watu wakawa wanafatilia nyuzi zake kuliko hata wanavyotembelea nyuzi za GENTAMYCINE

Niliwah mfatilia mpaka youtube maana nilishangaa mimi ni mdau wa mziki iweje tz kuwe na msanii mkubwa afu nisimjue
 
Lakini kwa nini mama yake aruhusu kijana ahukumiwe angeweza kusema asamehewe,huyo mama huenda kweli ni mchawi kamwalibia kijana wake maisha maana mzazi mchawi wa kike haiwezi kutokea wakaelewana na mama yake labda kijana apokee uchawi.
 
Mmmmmmhmn ila familia za kiafrika bwana. Sasa hapo wanagombana kisa kitanda kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]

Kama mzazi angetumia tu hekima amuache auze hicho kitanda tuone.

Upande mwingine kijana na yeye alikuwa anafuata nini kwa mama yake na anaona hawana maelewano mazuri hata kidogo?

Muda mwingine ukiona maisha yapo kasi sana just kaa mbali na potential triggers za wendawazimu. Ukiona ukiongea na watu fulani wanakuchanganya then kaa mbali nao.

Ila amefanya makosa kumwita mama mzazi au hata mtu mzima mchawi. Sio jambo zuri kwa maana linafedhehesha.
[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa atakuwa ameonewa, alipata changamoto ya afya ya akili, halafu wengi wetu humu tuliona dalili zote lakini tukashindwa namna ya kumsaidia zaidi ya kumdhihaki na kumcheka. Tulikosea sana.
Naunga mkono hoja, wanaJF tufanye namna ya kumpa msaada, kwanza wa kisheria na pili wa matibabu.
Naunga mkono hoja
 
Screenshot_20240825-181344.png

Hilo tusi🤣
 
Sheria si hua haiamini Uchawi? Ikawaje akafungwa miaka 7 kwa kumtuhumu Mama yake kua ni mchawi?

Wanasheria labda mtueleweshe hapa.
Watu washasema alikuwa na dalili zote za kudata... Huenda alipayuka mahakamani na kuanza kutoa maneno ya hovyo na utovu wa nidhamu kwa Mama yake, Mahakama kwa ujumla, polisi, hakimu, wasikilizaji... Ikawa tafran pale... Mahakimu na majaji nao hawachelewi, wakaamua zao kugonga kinyundo wakampiga nyundo saba papo hapo. Hawakuona kama kuna haja ya ku-deal na kichaa tena, akadate jela vizuri 😁😁😁👍
 
mzee wa go away. alikuwa ana rap kiinglishi na kiswahili.
 
Back
Top Bottom