Deo Kisandu kafungwa jela?

Deo Kisandu kafungwa jela?

Wote wajinga tu, mnatukanana kisa kitanda, mama ana amani mtoto wake wa kumzaa anavyokaa gerezani miaka 7? Waafrika inabidi turudishe Mila zetu, tena Hawa wasukuma kabisa, haya mambo kinaitwa kikao Cha ukoo mtu anakula fimbo za kutosha maisha yanaendelea

Wamasai ni marufuku kupelekana hata polisi
Na hapo ukute mama alikua anamtegemea kijana.
 
Wakuu, kwema?
Nimemkumbuka mwamba Deo Kisandu na namna aliburudisha hapa jukwaani na ikabidi ni Google taarifa zake. Nimekutana na hukumu ya mahakama kuwa alifungwa miaka Saba jela kwa kosa la kumtukana mama yake kuwa ni mchawi baada ya kukatazwa kuuza kitanda alipo kuwa akiishi na mama yake kahama.

Natamani nikamsalimie, naomba mwenye taarifa za magereza aliopo atujuze.
Ni yule jamaa aliyetulitea nyimbo yake ameweka na X humohumo..
Yule hakuwa mzima kabisa.
 
Watu hawajalitambua hili suala kwa ukubwa wake

Unakutana na mtu ana kazi nzuri na ana maisha mazuri pamoja na familia yake ila kuna tabia na viashiria ambavyo vitakuonyesha kuwa huyu ana changamoto kubwa kwenye akili pamoja na utambuzi na maamuzi yake katika baadhi ya mambo
Hakika mkuu, tatizo hospital zetu kitengo cha afya ya akili kimekua badged kama, wodi ya vichaa, na wataalamu wake, madaktari wa vichaa, ukifika hujui hali imeshakua critical na ni ngumu kwenda huko kwaajili ya consultations, nilifurahi kuona makampuni makubwa wamechukulia serious sana hii kitu hadi kuna, scheduled na walk in consultations kwaajili ya mental well-being, wanakwambia kwa kiwango kikubwa wao kama makampuni hii pia imeongeza productivity kutoka kwa wafanyakazi.
 
Hakika mkuu, tatizo hospital zetu kitengo cha afya ya akili kimekua badged kama, wodi ya vichaa, na wataalamu wake, madkari wa vichaa, ukifika hujui hali imeshakua critical na ni ngumu kwenda huko kwaajili ya consultations, nilifurahi kuona makampuni makubwa wamechukulia serious sana hii kitu hadi kuna, scheduled na walk in consultations kwaajili ya mental well-being, wanakwambia kwa kiwango kikubwa wao kama makampuni hii pia imeongeza productivity kutoka kwa wafanyakazi.
Hio ni kweli mkuu na hivi vitu inatakiwa tuanzie kwenye level ya familia mkuu

Sio kila kichaa lazima awe na fuko la takataka ama kuwa mchafu
 
Wakuu, kwema?
Nimemkumbuka mwamba Deo Kisandu na namna aliburudisha hapa jukwaani na ikabidi ni Google taarifa zake. Nimekutana na hukumu ya mahakama kuwa alifungwa miaka Saba jela kwa kosa la kumtukana mama yake kuwa ni mchawi baada ya kukatazwa kuuza kitanda alipo kuwa akiishi na mama yake kahama.

Natamani nikamsalimie, naomba mwenye taarifa za magereza aliopo atujuze.
kichaa anapewa kesi ila aliyetuita mbwa anasifiwa kugawa majina
GVmaFWbbgAAqkQ4.jpg
 
Huyu si akikua na matatizo ya akili? Na case yake ilipelekwa Mirembee?

Hiyo hukumu ya miaka 7 jela imekuajee tenaa? Lol
 
Wakuu, kwema?
Nimemkumbuka mwamba Deo Kisandu na namna aliburudisha hapa jukwaani na ikabidi ni Google taarifa zake. Nimekutana na hukumu ya mahakama kuwa alifungwa miaka Saba jela kwa kosa la kumtukana mama yake kuwa ni mchawi baada ya kukatazwa kuuza kitanda alipo kuwa akiishi na mama yake kahama.

Natamani nikamsalimie, naomba mwenye taarifa za magereza aliopo atujuze.
Hili jina siyo la yule DC wa Morogoro?
 
Wakuu, kwema?
Nimemkumbuka mwamba Deo Kisandu na namna aliburudisha hapa jukwaani na ikabidi ni Google taarifa zake. Nimekutana na hukumu ya mahakama kuwa alifungwa miaka Saba jela kwa kosa la kumtukana mama yake kuwa ni mchawi baada ya kukatazwa kuuza kitanda alipo kuwa akiishi na mama yake kahama.

Natamani nikamsalimie, naomba mwenye taarifa za magereza aliopo atujuze.
Yupo jela ya Kilago hapo Kahama
 
Mirembe walimclear kua Hana tatizo la akili
Tanzania hakuna kipimo Cha akili. Hata mahakamani hutumia objective tests ambazo kwangu sio sahihi eti anahojiwa maswali au kuangalia series za vitendo kujua kuwa alikuwa anajua anachokifanya. Akili ilivyatuka haimaanishi unapoteza kumbukumbu au huwezi kutoa rational answers kwa maswali unayoulizwa. Wengine akili huchangamka zaidi na kumbukumbu kuwa karibu zaidi kuliko mtu mzima
 
Back
Top Bottom