Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tena anasema kwa msisitizo kabisaTetetetete anataka kumuoa mtoto wa Baraka obama
Swissme
asante mkuuAsante sana tena sana wewe mleta mada hii. Nahisi soon tutapata msaada jins ya kumsaidia ndugu yetu na atapata msaada kadri ya tatizo lake linalomsumbua kwa sasa.
Asante sana tena sana
umaarufu mitandaoni una faida kwani mkuu,huyu mwenzetu kapitia msoto ndio maana anawewesekaWengine wanatafuta umaalufu humu mkuu
Una faida si unaona anatumia jina lake baada ya muda utamsikia kaanda shoo uwanja Wa taifa .na watanzania tunavyopenda vitu vyepesi tutajazanaumaarufu mitandaoni una faida kwani mkuu,huyu mwenzetu kapitia msoto ndio maana anaweweseka
nimeipata point yako nadhani kwa muktadha huo hilo linaweza kuwa lengo lake hasaUna faida si unaona anatumia jina lake baada ya muda utamsikia kaanda shoo uwanja Wa taifa .na watanzania tunavyopenda vitu vyepesi tutajazana
msaidieni mwana jf mwenzenu hata kwa kumtunuku tu inaonekana kazidiwa sana maji yamemfika shingoniHahahahaah aisee Evelyn Salt njoo umuone kaka yako halaf kama ana hamu kwani lazima aandike vile ,,basi na akitaka kunya atatoa tamko,
Kununua K nako kipaji Mkuu,Anaishi wapi huko ambako hakuna first aider (wauza K).?
Mana hao ndo huwa wanatusaidia pale tunapokuwa casualty and need an emergency care!
Psychologically atakuwa hayuko sawa
Wazee wa Kaunda au??Jamaa nilifiliria ni utani wake wa siku zote kumbe kichwani wajanja walisha fanya yao
Deo kakosa kumma huko aliko? Nyege mbaya ha ha ha haHahahahaah aisee Evelyn Salt njoo umuone kaka yako halaf kama ana hamu kwani lazima aandike vile ,,basi na akitaka kunya atatoa tamko,