Deogratias Kisandu amepatwa na nini? Tumsaidieni ushauri kijana mwenzetu

Deogratias Kisandu amepatwa na nini? Tumsaidieni ushauri kijana mwenzetu

Asante sana tena sana wewe mleta mada hii. Nahisi soon tutapata msaada jins ya kumsaidia ndugu yetu na atapata msaada kadri ya tatizo lake linalomsumbua kwa sasa.

Asante sana tena sana
 
Asante sana tena sana wewe mleta mada hii. Nahisi soon tutapata msaada jins ya kumsaidia ndugu yetu na atapata msaada kadri ya tatizo lake linalomsumbua kwa sasa.

Asante sana tena sana
asante mkuu
 
Una faida si unaona anatumia jina lake baada ya muda utamsikia kaanda shoo uwanja Wa taifa .na watanzania tunavyopenda vitu vyepesi tutajazana
nimeipata point yako nadhani kwa muktadha huo hilo linaweza kuwa lengo lake hasa
 
Hofu yangu ni kwa wale wanaozichangia kwa bashsha mada hizo
.
bila shaka nao watahitaji tiba
 
Wakuu kwema??

Huyu Deogratius Kisandu amefikia pabaya sana kwa sasa,
Muda sio mrefu atakua anaokota makopo aisee,
Huu uzi imebidi niufiche humu maana si post ile aisee,
Mods mkiona unafaa kwenda Jukwaa la Mchanganyiko ili uonwe na wengi sawa tu,
Ila kwa mwenye kumjua mshauri mzuri basi amuunganishe na huyu member mwenzetu.

WhatsApp Image 2018-01-22 at 00.40.43.jpeg
 
Huenda kuna mtu ameiteka nyara account yake, kama ni yeye kweli anayepost hivi basi kweli ana tatizo anahitaji aonane na daktari.
 
Hahahahaah aisee Evelyn Salt njoo umuone kaka yako halaf kama ana hamu kwani lazima aandike vile ,,basi na akitaka kunya atatoa tamko,
msaidieni mwana jf mwenzenu hata kwa kumtunuku tu inaonekana kazidiwa sana maji yamemfika shingoni
kukaa mda mrefu bila Ku.to.MBA unaweza kupata uchiz!!
 
Anaishi wapi huko ambako hakuna first aider (wauza K).?
Mana hao ndo huwa wanatusaidia pale tunapokuwa casualty and need an emergency care!
Psychologically atakuwa hayuko sawa
Kununua K nako kipaji Mkuu,
Mwenginehata kama ana hela mkononi lakini anataka apange saundi za kumpiga Muuza K
 
Back
Top Bottom