Deogratius Mahinyila, kushuhudia mwili unafanyiwa postmortem, ni kumkomaza mapema.. CHADEMA Msirudie😭😭😭

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Kuna siku nilichaguliwa na Familia kwenda Mochari kuosha Mwili wa ndugu yangu, hakika ilikuwa kazi ilinipa wakati mgumu. Hata chumba cha Mochwari hakijafunguliwa lakini macho yashakuwa mekundu kwa machozi.

Ukienda kuosha maiti, ndo utajua hapa duniani sisi so chochote si lolote.

Ilinichukua wiki kupona. Kuosha si kaazi. Kazi ni kuangalia wanavyotumia mkazi kushindilia pamba masikioni na mdomoni hadi modmo unajaa pamba.

Sasa huyu Mtoto Mahinyila wanamuambia akawakilishe CHAMA kushuhudia uchunguzi wa madakitari. Ile pasua shona, kqmuq mavi. Sipati picha.

Kazi kama walitakiwa wapewe wakina Rugemeleza Nshala Nshala, Izavel Rwaitama. Yaaani wangechagua mtu kutoka Baraza la wazee.

Sasa mtoto wa watu kajawa na majonzi tangu asubuhi hajala wala kunywa. Yeye muda wote ni kulia tu.

Ni kweli CHADEMA kazi yao ni kuwatengeneza watu hasa vijana na kuwakuza kama wanaume. Ila kwa Mahinyila mumemuoverdose, kwani bado mtoto mdogo.

Mungu azidi kuwapa wafiwa wote moyo wa Uvumilivu. Poleni CHADEMA
FB_IMG_1783095234461.jpg
FB_IMG_1783095238184.jpg
FB_IMG_1783095243310.jpg
FB_IMG_1783095264016.jpg
FB_IMG_1783095256291.jpg
 
Kuna siku nilichaguliwa na Familia kwenda Mochari kuosha Mwili wa ndugu yangu, hakika ilikuwa kazi ilinipa wakati mgumu. Hata chumba cha Mochwari hakijafunguliwa lakini macho yashakuwa mekundu kwa machozi.

Ukienda kuosha maiti, ndo utajua hapa duniani sisi so chochote si lolote.

Ilinichukua wiki kupona. Kuosha si kaazi. Kazi ni kuangalia wanavyotumia mkazi kushindilia pamba masikioni na mdomoni hadi modmo unajaa pamba.

Sasa huyu Mtoto Mahinyila wanamuambia akawakilishe CHAMA kushuhudia uchunguzi wa madakitari. Ile pasua shona, kqmuq mavi. Sipati picha.

Kazi kama walitakiwa wapewe wakina Rugemeleza Nshala Nshala, Izavel Rwaitama. Yaaani wangechagua mtu kutoka Baraza la wazee.

Sasa mtoto wa watu kajawa na majonzi tangu asubuhi hajala wala kunywa. Yeye muda wote ni kulia tu.

Ni kweli CHADEMA kazi yao ni kuwatengeneza watu hasa vijana na kuwakuza kama wanaume. Ila kwa Mahinyila mumemuoverdose, kwani bado mtoto mdogo.

Mungu azidi kuwapa wafiwa wote moyo wa Uvumilivu. Poleni CHADEMA
View attachment 3621503View attachment 3621504View attachment 3621505View attachment 3621506View attachment 3621507
Huyu ni replica ya TAL
 
Ndiyo ukubwa huo na pia tukio linaendana na taaluma..ni Wakili msomi,watakuja hata wateja Ofisini kwake siku moja wakitaka akawe shuhuda kama Wakili,haitakuwa busara kuwakatalia kwamba hawezi kazi hiyo. au kuwakimbia.
Poleni sana :CCM ni janga kubwa.
 
Ameshakomaa na pia ni wakili so kuna siku atapitia huko kwenye taaluma yake
 
Kuna siku nilichaguliwa na Familia kwenda Mochari kuosha Mwili wa ndugu yangu, hakika ilikuwa kazi ilinipa wakati mgumu. Hata chumba cha Mochwari hakijafunguliwa lakini macho yashakuwa mekundu kwa machozi.

Ukienda kuosha maiti, ndo utajua hapa duniani sisi so chochote si lolote.

Ilinichukua wiki kupona. Kuosha si kaazi. Kazi ni kuangalia wanavyotumia mkazi kushindilia pamba masikioni na mdomoni hadi modmo unajaa pamba.

Sasa huyu Mtoto Mahinyila wanamuambia akawakilishe CHAMA kushuhudia uchunguzi wa madakitari. Ile pasua shona, kqmuq mavi. Sipati picha.

Kazi kama walitakiwa wapewe wakina Rugemeleza Nshala Nshala, Izavel Rwaitama. Yaaani wangechagua mtu kutoka Baraza la wazee.

Sasa mtoto wa watu kajawa na majonzi tangu asubuhi hajala wala kunywa. Yeye muda wote ni kulia tu.

Ni kweli CHADEMA kazi yao ni kuwatengeneza watu hasa vijana na kuwakuza kama wanaume. Ila kwa Mahinyila mumemuoverdose, kwani bado mtoto mdogo.

Mungu azidi kuwapa wafiwa wote moyo wa Uvumilivu. Poleni CHADEMA
View attachment 3621503View attachment 3621504View attachment 3621505View attachment 3621506View attachment 3621507
Mungu ni mwema atampa ujasiri wa kihimili na kuyaona mepesi.
 
Gentleman,
muosha huoshwa.

na mbona ni jambo la kawaida sana hilo.

Kwetu it's privilege kuteuliwa kumuosha marehemu after postmortem au hata ambae hakua postmortemed 🐒
 
Shujaa ni yule anayefia vitani!!, hana namna ndio kupambana kujua anayolabiliana nayo!. Hakuna mtoto anapewa kuongoza taasisi!.
 
Nilianza kuangalia maiti nikiwa katika umri mdogo na haijawahi kuniletea shida.

Maiti kwangu hazijawahi kuwa ishu. Ishu kwangu ni kutazama mtu akichinja ng'ombe au mbuzi.

Ila nikishafika nikakuta ng'ombe kachinjwa pia sina ishu kabisa.

Ila kama yeye binafsi inamletea shida, naweza kumuelewa.
 
Ndio uanaume na ukomavu, tunampa pole lakini tunampongeza kwa ujasiri.
Wengine huzimia kabisa, postmoterm tena ya mtu unayemfahamu sio jambo dogo.
 
Back
Top Bottom