figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
- #21
Kujifunza kwa mtu wako wa karibu yataka moyo.Kijana mkubwa kabisa ulitaka asijifunze?
Kujifunza kwa mtu wako wa karibu yataka moyo.Kijana mkubwa kabisa ulitaka asijifunze?
Majuha mapumbavu ya ccm hayana nafasi kwenye show za wanaume, ni swala la muda majuha yote yatakimbilia Mozambique.Gentleman,
muosha huoshwa.
na mbona ni jambo la kawaida sana hilo.
Kwetu it's privilege kuteuliwa kumuosha marehemu after postmortem au hata ambae hakua postmortemed 🐒
Mnapenda sana kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama MazuzuHuyu ni replica ya TAL
Duh mnyama kuchinjwa inakupa shida? Mimi nimefanya kazi mochwari, nimechinja sana wanyama, nimefanya kazi za hatari za kumhusu binadamuNilianza kuangalia maiti nikiwa katika umri mdogo na haijawahi kuniletea shida.
Maiti kwangu hazijawahi kuwa ishu. Ishu kwangu ni kutazama mtu akichinja ng'ombe au mbuzi.
Ila nikishafika nikakuta ng'ombe kachinjwa pia sina ishu kabisa.
Ila kama yeye binafsi inamletea shida, naweza kumuelewa.