figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Huyu ni replica ya TALKuna siku nilichaguliwa na Familia kwenda Mochari kuosha Mwili wa ndugu yangu, hakika ilikuwa kazi ilinipa wakati mgumu. Hata chumba cha Mochwari hakijafunguliwa lakini macho yashakuwa mekundu kwa machozi.
Ukienda kuosha maiti, ndo utajua hapa duniani sisi so chochote si lolote.
Ilinichukua wiki kupona. Kuosha si kaazi. Kazi ni kuangalia wanavyotumia mkazi kushindilia pamba masikioni na mdomoni hadi modmo unajaa pamba.
Sasa huyu Mtoto Mahinyila wanamuambia akawakilishe CHAMA kushuhudia uchunguzi wa madakitari. Ile pasua shona, kqmuq mavi. Sipati picha.
Kazi kama walitakiwa wapewe wakina Rugemeleza Nshala Nshala, Izavel Rwaitama. Yaaani wangechagua mtu kutoka Baraza la wazee.
Sasa mtoto wa watu kajawa na majonzi tangu asubuhi hajala wala kunywa. Yeye muda wote ni kulia tu.
Ni kweli CHADEMA kazi yao ni kuwatengeneza watu hasa vijana na kuwakuza kama wanaume. Ila kwa Mahinyila mumemuoverdose, kwani bado mtoto mdogo.
Mungu azidi kuwapa wafiwa wote moyo wa Uvumilivu. Poleni CHADEMA
View attachment 3621503View attachment 3621504View attachment 3621505View attachment 3621506View attachment 3621507
SahihiHuyu ni replica ya TAL
Mungu ni mwema atampa ujasiri wa kihimili na kuyaona mepesi.Kuna siku nilichaguliwa na Familia kwenda Mochari kuosha Mwili wa ndugu yangu, hakika ilikuwa kazi ilinipa wakati mgumu. Hata chumba cha Mochwari hakijafunguliwa lakini macho yashakuwa mekundu kwa machozi.
Ukienda kuosha maiti, ndo utajua hapa duniani sisi so chochote si lolote.
Ilinichukua wiki kupona. Kuosha si kaazi. Kazi ni kuangalia wanavyotumia mkazi kushindilia pamba masikioni na mdomoni hadi modmo unajaa pamba.
Sasa huyu Mtoto Mahinyila wanamuambia akawakilishe CHAMA kushuhudia uchunguzi wa madakitari. Ile pasua shona, kqmuq mavi. Sipati picha.
Kazi kama walitakiwa wapewe wakina Rugemeleza Nshala Nshala, Izavel Rwaitama. Yaaani wangechagua mtu kutoka Baraza la wazee.
Sasa mtoto wa watu kajawa na majonzi tangu asubuhi hajala wala kunywa. Yeye muda wote ni kulia tu.
Ni kweli CHADEMA kazi yao ni kuwatengeneza watu hasa vijana na kuwakuza kama wanaume. Ila kwa Mahinyila mumemuoverdose, kwani bado mtoto mdogo.
Mungu azidi kuwapa wafiwa wote moyo wa Uvumilivu. Poleni CHADEMA
View attachment 3621503View attachment 3621504View attachment 3621505View attachment 3621506View attachment 3621507
Gentleman,Kuna siku nilichaguliwa na Familia kwenda Mochari kuosha Mwili wa ndugu yangu, hakika ilikuwa kazi ilinipa wakati mgumu. Hata chumba cha Mochwari hakijafunguliwa lakini macho yashakuwa mekundu kwa machozi.
Ukienda kuosha maiti, ndo utajua hapa duniani sisi so chochote si lolote.
Ilinichukua wiki kupona. Kuosha si kaazi. Kazi ni kuangalia wanavyotumia mkazi kushindilia pamba masikioni na mdomoni hadi modmo unajaa pamba.
Sasa huyu Mtoto Mahinyila wanamuambia akawakilishe CHAMA kushuhudia uchunguzi wa madakitari. Ile pasua shona, kqmuq mavi. Sipati picha.
Kazi kama walitakiwa wapewe wakina Rugemeleza Nshala Nshala, Izavel Rwaitama. Yaaani wangechagua mtu kutoka Baraza la wazee.
Sasa mtoto wa watu kajawa na majonzi tangu asubuhi hajala wala kunywa. Yeye muda wote ni kulia tu.
Ni kweli CHADEMA kazi yao ni kuwatengeneza watu hasa vijana na kuwakuza kama wanaume. Ila kwa Mahinyila mumemuoverdose, kwani bado mtoto mdogo.
Mungu azidi kuwapa wafiwa wote moyo wa Uvumilivu. Poleni CHADEMA
View attachment 3621503View attachment 3621504View attachment 3621505View attachment 3621506View attachment 3621507
Kwanini?Mi sioni shida kwenye hilo.
Nilianza kuangalia maiti nikiwa katika umri mdogo na haijawahi kuniletea shida.Kwanini?