Deogratius Mahinyila, kushuhudia mwili unafanyiwa postmortem, ni kumkomaza mapema.. CHADEMA Msirudie😭😭😭

Gentleman,
muosha huoshwa.

na mbona ni jambo la kawaida sana hilo.

Kwetu it's privilege kuteuliwa kumuosha marehemu after postmortem au hata ambae hakua postmortemed 🐒
Majuha mapumbavu ya ccm hayana nafasi kwenye show za wanaume, ni swala la muda majuha yote yatakimbilia Mozambique.
 
Duh mnyama kuchinjwa inakupa shida? Mimi nimefanya kazi mochwari, nimechinja sana wanyama, nimefanya kazi za hatari za kumhusu binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…