Deogratius Mahinyila Mwenyekiti wa Bavicha adaiwa kuandaa vijana kufanya vurugu kwenye Mkuano Mkuu

Acha vitisho vya kiccm.
Anyway tunajua Mbowe anapiganiwa na ccm ili chadema aifanye kuwa CCM B
Shauri yenu,
Hashtag hazitoi mtu jela au kaburini..

Mwambieni dogo aangalie Dr Slaa mashuhuri na uzee wake alipo
 
Deo Mahinyila Mwenyekiti mpya wa Bavicha ameanza na mguu mbaya ndani ya Chadema mara baada ya ushindi wake.

Mahinyila aliyejipambanua kwamba anamuunga mkono Tundu Lissu kwa siku 2 alizokaa madarakani ameligeuza Baraza hilo kama mali yake binafsi.

Akizungumza katika mkutano wa Mwanaharakati Godbless Lema leo Mwenyekiti huyo wa Bavicha amesema Baraza la Vijana linamtaka Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti na si vinginevyo.

Mahinyila ameenda mbali na kusema Baraza lake linawataka vijana kote nchini kutafuta nauli kuja jijini Dar es Salaam tarehe 21 kudhibiti alichokiita watoa rushwa na kuhakikisha Tundu Lissu anachaguliwa kuwa Mwenyekiti.

Deogratius Mahinyila pia anatuhumiwa kukusanya vijana na kwenda nao kwenye mkutano wa Bawacha jana na kufanya vurugu kulazimisha kuingia ndani ya ukumbi kabla ya kudhibitiwa na vikosi vya ulinzi vya chama hicho.

Deogratius Mahinyila anachokifanya ni kinyume kabisa na kanuni kwa sababu hana mamlaka ya kuliamulia Baraza la vijana kwamba achaguliwe nani hiyo ni kujaribu kwa makusudi kuleta vurugu na mgogoro mkubwa ndani ya Baraza na chama.

VIongozi kadhaa waandamizi wa Chadema wamemshauri Katibu Mkuu John Mnyika kumpa onyo kali kijana huyu na ajue mipaka yake kama Mwenyekiti wa vijana wote wa Chadema nchini.

Mara baada ya uchaguzi akishinda Freeman Mbowe Mwenyekti huyu wa Bavicha atapata kazi kubwa kuliongoza Baraza la vijana na kuaminika na Kamati Kuu kutokana na tabia aliyoionyesha iliyo nje kabisa na utamaduni wa Chadema.
Hii imebuma mbowe lazima dawa ainywe akizingua atalazimishwa hata kwa kufungwa kamba

Kwani wananchi walipoamua kuipuuza chadema ni sababu ya tabia zao za kunywa viroba na kuvuta bhangi na vurugu haya hata kiti cha ofisi hajakalia wala mlango hajafungua keshavuta ugoro!
 
Acha vitisho vya kiccm.
Anyway tunajua Mbowe anapiganiwa na ccm ili chadema aifanye kuwa CCM B
Mjinga huyo. Hajui kuwa upinzani imara ni jambo la muhimu katika nchi. Ana akili za za Samia za kutuma mtoto ahonge wapinzani. Hajui madhara yake. Waache tu, wadhani CHADEMA ikifa wataishi maisha ya amani kumbe ndiyo hali itazidi kuwa mbaya.
 
Mbowe hatakiwi, anang'ang'ania nn madaraka,huyu mzee wa machame vpp???.
 
Team Mbowe upuuzi mfanye nini, halafu mtake kumchafua Lissu.

Kuna video inaonyesha team Mbowe wakituhumiwa kutaka kuingiza kura fake kwenye mkutano wa BAWACHA.
 
Kuna kila dalili mtoa mada amepaniki, na hata haamini kinachotokea kwa kamanda wake Mbowe.
 
Deo Mahinyila Mwenyekiti mpya wa Bavicha ameanza na mguu mbaya ndani ya Chadema mara baada ya ushindi wake.

Mahinyila aliyejipambanua kwamba anamuunga mkono Tundu Lissu kwa siku 2 alizokaa madarakani ameligeuza Baraza hilo kama mali yake binafsi.

Akizungumza katika mkutano wa Mwanaharakati Godbless Lema leo Mwenyekiti huyo wa Bavicha amesema Baraza la Vijana linamtaka Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti na si vinginevyo.

Mahinyila ameenda mbali na kusema Baraza lake linawataka vijana kote nchini kutafuta nauli kuja jijini Dar es Salaam tarehe 21 kudhibiti alichokiita watoa rushwa na kuhakikisha Tundu Lissu anachaguliwa kuwa Mwenyekiti.

Deogratius Mahinyila pia anatuhumiwa kukusanya vijana na kwenda nao kwenye mkutano wa Bawacha jana na kufanya vurugu kulazimisha kuingia ndani ya ukumbi kabla ya kudhibitiwa na vikosi vya ulinzi vya chama hicho.

Deogratius Mahinyila anachokifanya ni kinyume kabisa na kanuni kwa sababu hana mamlaka ya kuliamulia Baraza la vijana kwamba achaguliwe nani hiyo ni kujaribu kwa makusudi kuleta vurugu na mgogoro mkubwa ndani ya Baraza na chama.

VIongozi kadhaa waandamizi wa Chadema wamemshauri Katibu Mkuu John Mnyika kumpa onyo kali kijana huyu na ajue mipaka yake kama Mwenyekiti wa vijana wote wa Chadema nchini.

Mara baada ya uchaguzi akishinda Freeman Mbowe Mwenyekti huyu wa Bavicha atapata kazi kubwa kuliongoza Baraza la vijana na kuaminika na Kamati Kuu kutokana na tabia aliyoionyesha iliyo nje kabisa na utamaduni wa Chadema.
Dogo kajaa upepo wa akina Maria
 
Alfajiri kesho napenda gari kuja daslam kuhakikisha lisu haibiwi kura
 
Vijana wasipo ongozwa na kuoneshwa njia sahihi huishia jiani.

Vijana wanahitaji mtu musthimilivu kama Mbowe. Siasa za Lissu zitawachosha na kuwapoteza mapema sana.
CCM mbona mnavuruga??
 
Naona wahuni wa CHADEMA mmeshikwa pabaya.Msiingilie majukumu ya BAVICHA, Tulieni kijana afanye majukumu yake
Majukumu yake ndio kuchochea vurugu? Kama ni lazima Lissu ashinde basi hakuna haja ya uchaguzi. Inaelekea baada ya lengo lao la kumfanya Mbowe asigombee sasa wameamua kuleta vurugu.

Amandla...
 
Kiukweli vijana wa chadema wameonesha nikwakiwango Gani vijana wa taifa Hilo wanaueleawa mdogo wa masauala MBALIMBILI wanaongozwa na mihemko hawana reasoning capacity ya masauala mtabuka wenyewwe ni bendera fuata upepo sasa unaambiwa eti ni wakili wa mahakama KUU lakini ukimtafakari jinsi anavyoongea Nikama Bado anagombea kumbea tayari nikiongozi ambaye anatakiwa kuwa leta vijana WOTE pamoja kaZi hii italuwa mgumu kwake
Kwa huu uandishi wako, wewe kumuelewa huyo Wakili ingekuwa maajabu!
 
Kama anaratibu hilo namuunga mkono 100%

Haiwezekani tunaibiwa uchaguzi wa vitongoji vijiji na mitaa wananchi wanabaki kulaani tu

Hapakuwa na nguvu ya umma kudhibiti uhuni tuliofanyiwa

Kila mmoja wetu alibaki kufarijiana kwa maneno tu

So busara nguvu ya umma ihuishwe Ili uchaguzi mkuu CCM na dola waje na mbinu zingine na sio kupora mchakato wa uchaguzi mnzima

Nguvu ya umma ndio itaamua kama watu waendelee kugombea kupitia vyama vya upinzani au wawaachie CCM wafanye watakavyo

Huu ndio ukweli
 
Deo Mahinyila Mwenyekiti mpya wa Bavicha ameanza na mguu mbaya ndani ya Chadema mara baada ya ushindi wake.

Mahinyila aliyejipambanua kwamba anamuunga mkono Tundu Lissu kwa siku 2 alizokaa madarakani ameligeuza Baraza hilo kama mali yake binafsi.

Akizungumza katika mkutano wa Mwanaharakati Godbless Lema leo Mwenyekiti huyo wa Bavicha amesema Baraza la Vijana linamtaka Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti na si vinginevyo.

Mahinyila ameenda mbali na kusema Baraza lake linawataka vijana kote nchini kutafuta nauli kuja jijini Dar es Salaam tarehe 21 kudhibiti alichokiita watoa rushwa na kuhakikisha Tundu Lissu anachaguliwa kuwa Mwenyekiti.

Deogratius Mahinyila pia anatuhumiwa kukusanya vijana na kwenda nao kwenye mkutano wa Bawacha jana na kufanya vurugu kulazimisha kuingia ndani ya ukumbi kabla ya kudhibitiwa na vikosi vya ulinzi vya chama hicho.

Deogratius Mahinyila anachokifanya ni kinyume kabisa na kanuni kwa sababu hana mamlaka ya kuliamulia Baraza la vijana kwamba achaguliwe nani hiyo ni kujaribu kwa makusudi kuleta vurugu na mgogoro mkubwa ndani ya Baraza na chama.

VIongozi kadhaa waandamizi wa Chadema wamemshauri Katibu Mkuu John Mnyika kumpa onyo kali kijana huyu na ajue mipaka yake kama Mwenyekiti wa vijana wote wa Chadema nchini.

Mara baada ya uchaguzi akishinda Freeman Mbowe Mwenyekti huyu wa Bavicha atapata kazi kubwa kuliongoza Baraza la vijana na kuaminika na Kamati Kuu kutokana na tabia aliyoionyesha iliyo nje kabisa na utamaduni wa Chadema.
Acheni uzushi.
Janja kashinda kazi Iendelee.
 
The medicine for 🔥 is 🔥
CCM wanahitaji kupelekewa moto na si vinginevyo.
CCM ndio wamepanga kuvuruga uchaguzi kwa pesa za umma, hivyo lazima wadhibitiwe
 
Back
Top Bottom